Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 996
- 1,771
Naona umemla GabachoriWewe ndio huijui Salzburg mkuu..
Wakamaria hilo ndio jeshi letu..ukiliona tu unaona pesa
Naona umemla GabachoriWewe ndio huijui Salzburg mkuu..
Wakamaria hilo ndio jeshi letu..ukiliona tu unaona pesa
not the Anfield UCL night we expected but the lads have fought back and sealed the 3 points...The Champions of Europe are back at Anfield
tunashukuru tumerudi 'kwenye laiti' traki japo kwa kupambana ki nomaKila la kheli katika kutetea taji lenu
itakua ngumu sana tuedako maana uchovu na majeraha bado hayajaanza kivile kutucost...UEFA ya msimu ni nyepesi sana kubeba
hua hanapendi kununua Januari labda Milner na Hendo waumieUko mbeleni sioni jipya labda Klopp aache kiburi chake aingie sokoni January anunue wachezaji
unsung hero, the show stopper, the interception master, aerial king, can dribble, accurate passing, superb positioning, knows when to close the links, reads the game properly,makes VVD better,aggresive when needed.. that is Matip and he does all that wt easeina maana Matip ndiyo tunam miss kihivyo?
hahaha guys guys relax...wakati mwingne matokeo kama haya ya leo ni muhimu sana ili Klopp na jopo lake wakae watuliza kichwa kua na mifumo tofauti kulingana na mpinzani tunaekutana nae...Leo tunafungwa
Mkuu hizi sub za gaffer wakati mwingine hua zinatuogopesha...We had to take off THE CAPTAIN for a 34 year-old Milner to try and slow the game down against "kids" who have never played at Anfield, even worse, the current CHAMPIONS OF EUROPE.
We've got the most useless captain in the history of this Club.
couldnt say otherwise....VVD has to be better than this....Matip makes vvd unfortunately he is overlooked
hua hanapendi kununua Januari labda Milner na Hendo waumie
he is the luckiest dumb to wear that precious armband worn by very estemeed CP before him...Jordan Henderson.
Worst football player to ever played for this beautiful Club.
shinda ya Klopp ni kwamba yeye hufanya bila kujali wengine watamsema vipi....atavuna jeuri yake ila akae akijua sisi ndio tunaumia zaidi
pazuri ma Titans wengi msimu huu nj tia maji sio Liverpool, Chlelsi, Real n.k au pengine ushindani umeongezeka...Nasema muna litimu libovu ile balaa![]()