Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mantiki hiyo ni kwa nini Liverpool haijachukua EPL kwa miaka 29(ishirini na tisa na yote hiyo ikiwa ndani ya EPL) ?

Tusikariri wakati kutochukua kombe ambalo upo ndani ya michuano yake miaka 29 mfululizo ni tayari trend ya kukariri kabisa maana hakujakuwa na mabadiliko katika miaka 29 hiyo?

2013/2014 ilikuaje? Je haikujirudia 2018/2019 mkuu?

Tutakuja kufukua makaburi haya sio mbali sana
Inawezekana bado wanachukulia poa kikosi cha guardiola...sisi tunatengeneza chance nyingi tunapata matokeo kiduchu wenzetu wakipata chance wanatumia ipasavyo yaani mpaka sterling siku izi anajua kumalizia( hii ni hatari Zaid ya yote) ...wale wakipata wa kujipigia hawataki masihara ..tuombe tusiwe na injury December hiyo..#YNWA
 
Majanga ni wanazi wenzetu wa Liverpool kule UK licha ya kuanguka kwa Liverpool sababu ikiwemo ya kukumbatia uzawa ila mpaka leo hii wanapigania uzawa
 
Vitor Matos has officially joined the Liverpool FC staff as elite development coach.

At Liverpool, the 31-year-old takes up the position previously held by current Reds assistant manager Pepijn Lijnders, who also switched to Merseyside from Porto.
 
Mkuu kuna kitu, Nyota Matip yuko vizuri sema nyota yake haijang'aa anafanya vizuri sana mpaka Gomez nimeshaanza kumsahau. Hata pale mbele Firmino anapiga kazi sana lakini wanaopata sifa ni Mane na Salah.
Hata huna haja ya kutaja Article! Mimi mwenyewe nilishawahi kulisema hilo!

Matip hapewi sifa anayostahiki but ni Defender mzuri tu na wala haina haja ya kusubiri Siku atakayofanya Blunder tuanze kufukua Makaburi.

Hata hivyo VVD ni better himself
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom