Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hiyo mistali ya mwisho ndo nnacho lilia sana kocha afanye na mchezaji hawezi kua fiti kwa mazoezi pekee japo dakika kumi awe anawapa kwa awamu mana wanao cheza si maroobot.Katika kumbukumbu zangu zinanionesha Mane, Bobby na Salah hawajawahi kupotea zaidi ya Mechi 4, Na tayari wameshapotea Mechi 3 (Napoli, Chelsea na Sheffield).
Kwahiyo against Leicester au Manure watakuwa wamesharudi vizuri tu kwenye ubora wao.
Na awamu ya pili ambayo ndiyo mbaya zaidi watakayopotea ni Jan - Feb ambapo ndiyo maranyingi huwa tunapotea kwenye zile mbio za Ubingwa.
Kwahiyo Klopp awe Makini kuwaweka Fiti baadhi ya Wachezaji (Keita, Origi na OX) kwa kipindi hichi cha Jan - Feb ili tusije umbuka kama kawaida yetu.
Mpeni matip mlio jisajili walau ajifafariji kwa jitahada zake.
Katika kumbukumbu zangu zinanionesha Mane, Bobby na Salah hawajawahi kupotea zaidi ya Mechi 4, Na tayari wameshapotea Mechi 3 (Napoli, Chelsea na Sheffield).
Kwahiyo against Leicester au Manure watakuwa wamesharudi vizuri tu kwenye ubora wao.
Na awamu ya pili ambayo ndiyo mbaya zaidi watakayopotea ni Jan - Feb ambapo ndiyo maranyingi huwa tunapotea kwenye zile mbio za Ubingwa.
Kwahiyo Klopp awe Makini kuwaweka Fiti baadhi ya Wachezaji (Keita, Origi na OX) kwa kipindi hichi cha Jan - Feb ili tusije umbuka kama kawaida yetu.
Mpeni matip mlio jisajili walau ajifafariji kwa jitahada zake.
Hiyo mistali ya mwisho ndo nnacho lilia sana kocha afanye na mchezaji hawezi kua fiti kwa mazoezi pekee japo dakika kumi awe anawapa kwa awamu mana wanao cheza si maroobot.
Hafu kuna siku mtu anakua hayupo mchezoni atolewe apewe nafasi mwingine mfano mechi ya man u kwa Shaqili alivyo tupa ushindi magoli yote alibabatiza tu yakaingia kinyume chake ndo utagundua kama kuna siku nzuri na mbaya kwa wachezaji.
Kuna December pia usiisahau mkuu, huwa iko tight sana ratiba yake.
Mwaka jana tulishinda game zote za December EPL na UEFA, nadhani ndiyo maana tulijikuta tumechoka January.
Ni kipindi hicho cha December City alipoteza 3 vs Chelses, Crystal Palace na Leicester.
So, niko very certain kwamba tukiivuka December salama, kazi inaweza kufanyika.
Hata huna haja ya kutaja Article! Mimi mwenyewe nilishawahi kulisema hilo!
Matip hapewi sifa anayostahiki but ni Defender mzuri tu na wala haina haja ya kusubiri Siku atakayofanya Blunder tuanze kufukua Makaburi.
Hata hivyo VVD ni better himself
Mkuu Milner anaandaliwa mkataba mpya aisee naona bado hawa ma brexits bado tunaoHizo dakika 10 ulizozitaja Klopp anawapa Milner na Lallana ambapo ndiyo yalipo mapenzi Yake.
Lakini uhalisia ni kwamba Watu hawa Watatu (Origi, OX na Gomez) wanahitajika kila Game lazima wapate dakika 20+ kama michezo 10 mfululizo.
siku ukiona Milner, Lallana, Hendo hawapo tena ndio such preciois talents watatua Anfield....Nimeona mahali Naerezi wa Ajax tunamtaka wajuvi wa habali mtuambie
Leo nimeshuhudia moja ya mechi mbovu kabisa tokea msimu huu wa ligi uanze....kilichonipa raha ni arsenal walau kuchuka point hapo Trafford
Kwa mantiki hiyo ni kwa nini Liverpool haijachukua EPL kwa miaka 29(ishirini na tisa na yote hiyo ikiwa ndani ya EPL) ?Umekariri wewe.amka mambo yamebadilika Liverpool ya sasa hasa ya msimu huu ni ya moto sana usione tunashinda ukachukulia poa kama ingekuwa rahisi kila timu ingefanya hivyo ,kwa sasa kipaumbele cha kwanza ni epl na Safari hii var ipo Maana wamezoea kuchukua ubingwa kimagumashi five point na kuendelea wako nyuma .
Mpira unachezwa uwajani na sio kwa majina makubwa yawachezaji. Na kikosi hicho hicho cha kina origi Liverpool imebeba uefa na ndio itakavyokuwa msimu huu tutakavyochukua epl,Safari hii sijui mtasemaje?.