MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
Kubahatisha mpaka uichezee Liverpool co mchezo masta.Acha atembelee bahati yake bhanaa mpira wala hajui uzuri kabahatisha mechi zote muhimu ndomana kapata mkataba.
Na zali lake lingine Solanke hajafunga hata goli na dakika kibao kapewa bila hivyo ilikua kwa heri
Origi co mchezaj mkali sana ila Ana nidhamu kubwa sana ya mpira na anafanya kile kidogo anachokijua kwenye mpira kwa usahihi mkubwa.
Football without Origi is nothing
