Bonge ya sabu hii yani hata tusipo shinda nampongeza jitu linakimbiza upepo tuu



Mliokua mnamponda Origi nadhani mnaona impact yake
Majogoo naona mnaruka ruka tu uwanjan, leo ndio mnaona ugumu wa epl
Naona liverpool anaondoka na kijiji huko mapema sanaa
ila hii game bado ngumu.. Matip, VVD, Adrian keep doing the great work
Acha atembelee bahati yake bhanaa mpira wala hajui uzuri kabahatisha mechi zote muhimu ndomana kapata mkataba.Mliokua mnamponda Origi nadhani mnaona impact yake