Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu tatizo umekalili, hii Liverpool ya sasa ni moto sana hakuna cha mpira dak 90 hii inashida tu, kama walivyofanya msimu uliopita kafungwa mechi moja tu msimu mzima kwenye epl.

Na safari hii mtaumia sana.maana malengo ya kwanza ni epl.
Najua mnataka epl,

Mnaingia na matokeo yenu uwanjan tena win sikatai,
Kaa ukijua mpinzan wenu na yeye anataka point tatu, hivyo basi ni bora tu ukatulia ..mpira unafitina nyingi sanaa,
 
Tatizo Bobby anashindwa kukumbuka kuwa yeye ndio central striker anatakiwa afunge as many goals as he can
 
Majogoo naona mnaruka ruka tu uwanjan, leo ndio mnaona ugumu wa epl

Naona liverpool anaondoka na kijiji huko mapema sanaa
 
Mpaka sasa tumecheza chini ya kiwango. Robbo sijamuana kabisa akipandisha mashambulizi kama tulivyozoea kumwona.
 
Hii ni game ya 3 mfululizo Bobby, Salah na Mane wanakuwa wazururaji tu uwanjani.

Yani ile 3 games wonder haipo tena
Kwa haki kabisaa tatizo letu lipo katikati kuna wachezaji humu wanabeba majukumu ya wenzao wale ambao makosa yao hayaulizwi kitim kama hiki kinajiamini vipi mpaka kifike golini kwetu mara kadhaa?

Kloop unamlazimisha Keita acheze kushoto huyo unae mtumia nafasi yake sijui keshatengeneza nafasi ngapi mana Keita tumeona mpaka magoli amefunga.
Kuna kila dalili za kuja kupoteza mechi mfululizo kuna mid table zenyekujielewa tukiendelea hivi hatuponi huko mbele
 
Hawa Sheffield ndiyo wanatuonesha Mkwala sio wa kupiga mazoezi HF ili kitukatisha tamaa Kuwa hawatochoka?
 
Ni kweli hamna short on target?

We need to win guys
Screenshot_20190928-154742.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom