Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Acha atembelee bahati yake bhanaa mpira wala hajui uzuri kabahatisha mechi zote muhimu ndomana kapata mkataba.

Na zali lake lingine Solanke hajafunga hata goli na dakika kibao kapewa bila hivyo ilikua kwa heri
Origi ni mchezaji mzuri kuliko unavyodhani ukitaia kuamini hilo ngoja auzwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom