Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Keita hata benchi hayupo?
Klopp alisema tena baada ya ile game ya carabao kwamba 'Keita needs to adopt his role again'' na mimi nahisi hiyo role ni ile ile ya Left Midfielder.. kwahyo hakuna namna.. anaanza adjustment tena kama za fabinho
 
Nilichoangalia na kukigundua FH ni:-

Robbo good
TAA satisfied
Matip best
VVD best
Mane satisfied
Salah satisfied
Bobby poor
Fabinho good
Hendo poor
Gini satisfied
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom