mkamilaevo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 302
- 441
haaaaaaa dkka 14 magoli 4
huyu man city daaah dakika ya Kwanzaa tu
sio tano tu ni zaidi ya tano maana now ni 5-0Leo wana hasira sana,hasira za norwich wanamalizia kwa watford.watashinda sio chini ya goli 5
Acha watandikwe tu kwa sababu hakuna namnaMan city 5-0 dakika ya 18.... leo kuna dhahama
Man City naona leo atataka kujipoza machungu kwa kutaka Kumfunga mengi Watford
Man City sasa hii sifa!
Dawa yao ni kuwaacha kwa points tu. Kwa magoli hakamatiki huyu mdudu



Tukimtafuna Chelsick hapo kesho nadhani nidhamu itabakia kwenye mkondo wake...7 - 0![]()
![]()
Mkitafunwa je?Tukimtafuna Chelsick hapo kesho nadhani nidhamu itabakia kwenye mkondo wake...
Vibogoyo vitachonga sana wallah...Mkitafunwa je?
Nane tayari!7 - 0![]()
![]()
Kevin De bruyne ASSIST 7, dah



Halafu kuna watu wanasema Pogba mkali zaidiKevin De bruyne ASSIST 7, dah
Hahahah hata mm huwa nashangaa kwann wanasema hivi , kwanza ana form mbaya sana. Ya away games .FT:
Lesta 2 - 1 Spurs
Kila msimu Huyu Spurs Kuna Watu hutaka kutuaminisha kuwa Yumo kwenye mbio za Ubingwa
Upo sahihi, sijui huwa wanavuta bangiHasa wachambuz wa Radio Clouds Sport Extra
HahahahaMkitafunwa je?