Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna sehemu nilisoma

Jamaa anasema VVD anabebwa na mfumo/shape wa timu defensively

Hata Phil Jones akiwekwa kwenye set up ya Liverpool atang'ara [emoji23][emoji23]
Mfalme VVD kwamba toka liverpool ianze huyo ndo bek bora kuwahi kuichezea hii timu? Yaani unashupaza kabisa et hawez kuongea mataputapu wakat juz katoa assist like phil jones tofaut ni kuwa anachezea timu iliyoshinda kikombe
 
Best comment of all time [emoji23][emoji23]

Leo umemkana kaka yako Peni [emoji1787][emoji1787]

Hivi Liverpool wana clean sheet ngapi msimu huu
 
Best comment of all time [emoji23][emoji23]

Leo umemkana kaka yako Peni [emoji1787][emoji1787]

Hivi Liverpool wana clean sheet ngapi msimu huu
Clean sheet watolee wapi mkuu wakati VVD yupo[emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo ni VVD ..Siku asipocheza watapata tu..
 
Kuna sehemu nilisoma

Jamaa anasema VVD anabebwa na mfumo/shape wa timu defensively

Hata Phil Jones akiwekwa kwenye set up ya Liverpool atang'ara [emoji23][emoji23]
Uyu VVD alivyokuwa Soton ..mbona walikuwa wanachezea nyingi tu ...me nadhani uko sawa mkuu mfumo unam'beba sana jamaa...

Ukicheki pale nyuma kuna Lovren tena ..dah kwa nin VVd apate tabu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haters

Ishu unataka acheze nani wakati ndo tuliokuwa nao hao ...sababu Napoli kutupiga..!!? mbona ligi tuko nao hao hao na game nyingi wameanza na ligi game nyingi kuliko hiyo Ucl hujaongelea hapo hata hizo takwimu ulizotoa tayari ni history...
 
pamoja ndugu yangu...ni kweli mpira bila utani haunogi bana...

kitaa hua naona vijana wanavyotaniana mpaka huruma endapo timu fulani imefungwo, kama huna ubavu aisee mpira sio mchezo wa kushabikia maana unaweza taniwa mpaka machozi na jamaa bado wapo na wewe hawakomi na siku nao wakifungwo inakua zamu yako kuwapeleka puta...that the beuaty of football, they is always a second chance

Football brings us together, we live cry,laugh and cherish the happy moments...
 
Clean sheet watolee wapi mkuu wakati VVD yupo[emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo ni VVD ..Siku asipocheza watapata tu..
Ollachuga Oc mtulie sidano iingie haha...huyu VVD anawatesa sana wapinzani....hakika sis mashibiki wa Majogoo ni zamu yetu...

wewe hangaika na Zuma huyu tuachieni sisi...

Jumapili naja mazima kuchukua pointi hapo hapo Darajani...πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Hii picha bado sijaielewa mpaka leo kila nikitazama nacheka sana[emoji23][emoji23][emoji23] bado sijaelewaaa[emoji41][emoji28][emoji28]
 
Ishu unataka acheze nani wakati ndo tuliokuwa nao hao ...sababu Napoli kutupiga..!!? mbona ligi tuko nao hao hao na game nyingi wameanza na ligi game nyingi kuliko hiyo Ucl hujaongelea hapo hata hizo takwimu ulizotoa tayari ni history...

Mimi ninapodebate kitu huwa naweka stats au Mifano ili Mtu akiamua kutrace back aweze Kuconfirm usahihi wa nilichokiongelea.
Na ndiyomana nikakuekea aina ya game hapo na Misimu ya game hizo.

Lakini ukiniambia Kuna "Game Nyingi" tu hapo nitashindwa kukucomment chochote coz sijui hizo Game nyingi nitazijuaje kuweza kuziconfirm!

Weka examples hapa hizo game nyingi ni zipi na Misimu yake ni ipi ili niweze kucomments.

Kama zipo kweli basi utaweza kuzitaja hapa hizo game! Lakini kama hazipo hizo game walizoshinda, Basi tutosheke na kuwa Zipo nyingi tu kama ulivyosema.
 
Dah! Yani ukitaja Jumapili mimi nakosa Amani. You know why?
Ukweli ni kwamba tukipoteza tu hiyo game PEP ataregain confidence na atakuja tena kwa Nguvu zote.
 
Kuna watu wana nyota tu ya kupendwa, kama VVD

Wewe si unaona Pogba akizingua, kuna watu wanataka watuaminishe kwamba shida ni kwamba hajazungukwa na World Class Palyers, wakati makosa ni yake binafsi

Najaribu kufikiria, ile assist ya Β£75m angeitoa huyo Lovren au Matip angeshambuliwa kiasi gani
Mbona Lovren alichezeshwa na VVD lakini alifeli, kwanini na Jones asifeli?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…