Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Naomba Msada viongozi! Nisaidieni kuielewa hii ↑↑ post
Nimeshindwa kabisa kuifahamu imelenga kitu gani
 
Norwich kamfunga Man City. Zikikutana tena bado watu tutaamini Man City atashinda ingawa mechi iliyopita alishinda Norwich.

Umeelewa sasa?
unataka kusema Napoli ni kama Norwich?
 
Hv kumbe liver nayo ina mapungufu, kumbe nyie pia ua mna wahofia wapinzan aisee hili nimelijua leo nilimamuinishwa kwamba liver ndo timu bora ulaya kwa sasa, kumbe nili puyanga
 
poleni hapa ndugu zangu,afadhali ya nyinyi mliopigwa away kuna linyumbu limetandikwa home bila huruma wale valencia niliowatwanga H/A wamefanikiwa kutoboa tundu katika daraja
 
Kina dada vyombo vya chai vimeisha,tunaomba msuuze vilivyotumika haraka haraka.

Kwani ni nini kilimpata marehemu? Mbona alikuwa mkakamavu sana wikiendi ya juzi?
 

Hongereni kwa kipigo cha goli 5 mlizowapiga Valencia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahabahahahahahahahahabahahhahahahahaah


Kikosi cha Dunia kinapigwa na Napoli
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahabahahahahahahahahabahahhahahahahaah


Kikosi cha Dunia kinapigwa na Napoli
 



Sawa basi
 
Salamu zimefika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…