Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna msemo wa kipato huleta majivuno, Liverpool baada ya kuchukua ubingwa naona kuna aina fulani ya aggressiveness imepungua.

Tunacheza kwa kujiamini sana, tunafunga magoli, lakini kuna so many clear chances tunazipoteza.

Singling out few players who have been consistent aggressive in every game since the start of the season: Matip, Fabinho, Sadio and Robertson.

Defense is usually waking up after we conced, before conceding we play like we are immortals.

Salah's greediness will cost us EPL, unless he changes.

Bobby has been one of the best mid-striker, though he loses possessions most of the times due to his clever passes, he is one who we depend on his skills.

I like how Klopp is giving Ox game time, I hope he does the same to our Keita once he is cleared.

Shaqir should be featured on regular basis too. So that we are assured of sharp bench.

Otherwise, we are on the right track.

This is our time kops: It is now or never.
 
Nadhani kungeekwa utaratibu wa Marefa kulazimika kutumia VAR pale yanapotokea Matukio yenye maamuzi ya utata.

Refa Jana halikutaka hata kutumia VAR kwenye tukio hili jambo ambalo halikuwa na maamuzi sahihi.

Hata hivyo VAR bado haijawasaidia Marefa coz wanaendelea na Maamuzi ya utata hata baada ya kureview tukio.

View attachment 1207852
Mimi sikuangalia mpira jana. Lakini reviews zilionesha hii ilikua Penalty ya wazi kabisa.
 
Nadhani kungeekwa utaratibu wa Marefa kulazimika kutumia VAR pale yanapotokea Matukio yenye maamuzi ya utata.

Refa Jana halikutaka hata kutumia VAR kwenye tukio hili jambo ambalo halikuwa na maamuzi sahihi.

Hata hivyo VAR bado haijawasaidia Marefa coz wanaendelea na Maamuzi ya utata hata baada ya kureview tukio.

View attachment 1207852
Hii ya matip ni penalt kabisa ya wazi bila ubishi
 
Dah! Ni kweli

One Laporte amemake difference kwa Man City but I beg to differ!

Laporte amezungukwa na

ZINCHENKO - OTAMENDI - JONES - WALKER

Ambao wote hao ni Shit players kwani Walker sikuhizi kawa uchochoro na Zinchenko bado anajifunza (inexperienced)..

Otamendi na Jones ni Lovren waliochangamka tu.

But ukija kwenye Defence yetu utakutia kuna

ROBBO-VVD-MATIP-TAA

So, kwa kuumia VVD pekee kama sio injury ya Muda mrefu basi hatutostruggle sana kwa VVD amezungukwa na Best Defenders unlike Man City.

Gomez na Matip wanaweza kucover vizuri tu.

Problem ni pale watakapoumia more than one Defender..

Kwahiyo Man City since last season akikosekana Laporte tu basi hata wacheze na Namungo FC watafungwa! Hii inaonesha wana very weak defence line inayomtegemea mtu mmoja.
Yani nimeshtuka asubuhi pep kapigwa mapema yote hii daah ..
Wiki ijayo tuna vibarua vigumu vinamuhitaji Ali Becker ..sijui itakuaje ngoja tuone hesabu za away kikosi kitapangwaje nadhani itatupa dira kwa game zijazo.
 
Ali Becker wa nini?

Kwani mpaka sasa wapi Adrian kaharibu?

Tunahitaji Salah kuacha uchoyo.
 
Kuna msemo wa kipato huleta majivuno, Liverpool baada ya kuchukua ubingwa naona kuna aina fulani ya aggressiveness imepungua.

Tunacheza kwa kujiamini sana, tunafunga magoli, lakini kuna so many clear chances tunazipoteza.

Singling out few players who have been consistent aggressive in every game since the start of the season: Matip, Fabinho, Sadio and Robertson.

Defense is usually waking up after we conced, before conceding we play like we are immortals.

Salah's greediness will cost us EPL, unless he changes.

Bobby has been one of the best mid-striker, though he loses possessions most of the times due to his clever passes, he is one who we depend on his skills.

I like how Klopp is giving Ox game time, I hope he does the same to our Keita once he is cleared.

Shaqir should be featured on regular basis too. So that we are assured of sharp bench.

Otherwise, we are on the right track.

This is our time kops: It is now or never.
Boby is from the future ..Salah kashaambiwa na Wenger akiacha ubinafsi tu tunachukua ubingwa mapema ..Mane +VVD +ROBO tayari ni World class players (wanaweza karibia huko) Ox +Origi+Shaqiri+Rhian+Gomez wapewe pewe game za kucheza nadhani carabao na Fa cup watapata chance zaidi ..
Hali ya kujiamini imemtengeneza mpaka Adrian ..Gini kaiva kwenye kufunga zaidi tunamuona mpaka Netherlands anafanya yake ..TAA kufanya marking tu ndo zinamsumbua kidogo huwa anajisahau kama Gomez...mi nasubiria game ya Napoli away nadhani itatupa challenge vilivyo.
 
We don't have problem with UEFA, we need EPL!
 
I don't see any problem with him at all.

He has been marvelous, and he is.

Mkuu haya ndiyo tuliyoyashuhudia kwa Karius Msimu mzima tukamuona kama ni New De Gea but akaja akatuuwa kwenye Game muhimu zaidi maishani mwetu (CL Final vs Real).

Kwahiyo na huyu Adrian si wa kumuamini sana anaweza kuchomoa Betri sehemu muhimu zaidi tukakimbiana sote humu.

Makipa kama hawa hawezi kucheza underpressure tofauti na experienced Alisson anayeweza kucheza at any situation
 
Nakubaliana na hilo, mkuu Karius alikuwa danger sana hata mechi tulizokuwa tunashinda.

Adrian hajawa tested kwenye pressure, ila mpaka sasa kazi aliyoifanya ni ya pongee sana, mimi binafsi magoli aliyofungwa sijaona default kubwa, ukiacha ile blunder ambayo hata Allison aliifanya (ile ni learning process kwangu).

Kwa hiyo sina wasiwasi kabisa Adrian akiwa golini, wasiwasi wangu ni ukabaji wa TAA tu na jinsi ambavyo beki yetu inajiamini kuwaacha wapinzani wasogee sogee golini.
 
TAA anajiamini Sana. Anajua nyuma yake Kuna Baba watoto VVD . Kuna Mcameroon Joe Matip.Kuna Allison Becker.
Halafu umri bado . Ana pace kubwa,control nzuri pia good drinking.
So no problem with Arnold.
 
Nakubaliana na hilo, mkuu Karius alikuwa danger sana hata mechi tulizokuwa tunashinda.

Adrian hajawa tested kwenye pressure, ila mpaka sasa kazi aliyoifanya ni ya pongee sana, mimi binafsi magoli aliyofungwa sijaona default kubwa, ukiacha ile blunder ambayo hata Allison aliifanya (ile ni learning process kwangu).

Kwa hiyo sina wasiwasi kabisa Adrian akiwa golini, wasiwasi wangu ni ukabaji wa TAA tu na jinsi ambavyo beki yetu inajiamini kuwaacha wapinzani wasogee sogee golini.

TAA kwenye kukaba hayupo vizuri! Yani kama utachukua Mabeki wa Pembeni 10 bora Kwenye EPL na ukatumia Kigezo kimoja tu cha Kukaba! Basi TAA hawezi kuingia kwenye hiyo Top 10.
Yani hajui kukaba hata kidogo.

Ila ukiangalia kigezo zaidi ya kimoja kikiwepo kigezo muhimu cha Pace na Kucreate nafasi, Basi TAA ni best RB kwenye EPL.

Kwahiyo TAA anahitaji umakini wa Watu wawili tu: 1) Defensive Mido (Fabinho) na Right Central Defender (Matip) wawe wanacover nafasi Yake pale anapokwenda kushambulia.

Halafu Mkuu, Mimi sinakawaida ya kumpa Mtu excuse ya kuhalalisha kitu kwasababu tu kuna Mwengine aliwahi kufanya! Kwahiyo siwezi kutoa excuse kwa Adrian na kuaccept his blunder kisa tu na Alisson alifanya the same blunder.

Every should carry his own burden! We need EPL than everything tambua hilo! So, No single room of mistake is acceptable....

This season ni bora wachezaji wafe uwanjani kwa sacrifice everything ilimradi tu waje na EPL, hata kama next season tutashuka daraja kwa Fatigue basi nitacheza Championship peacefully kabisa nikiwa na EPL mkononi.
 
Kwa TAA nakubaliana na wewe 100%, jana Matip alisimama pembeni wakati TAA anazungushwa, nadhani Gomez huwa ni mzuri kwenye kum-cover TAA zaidi.

Kuhusu blunder ya Adrian, mimi ninai-excuse kwa kigezo cha kwamba "We make mistakes to learn", since that mistake, VVD kaacha kurudisha mipira nyuma, hata kwa Allison tuliandika mapema kabla ya kosa kwamba mpaka atakapofungisha ndipo akili itakaa sawa.

Tatizo langu kubwa Zaidi ni repetitive mistakes, mfano Salah anachelewa ku-release mpira inapelekea kupoteza nafasi nyingi, na hii problem haiwi addressed.

Team rotation, hii nadhani itakuwa poa kama League Cup na FA tutasurvive, inasaidia wachezaji kuwa tayari tayari pale wanapohitajika.
 
Timu yetu kwenye Ushambuliajai tupo Vizuri

Kwenye ulinzi tupo vizuri

Shida ipo kwenye Mido

Siku tutakayokamilika kwenye Mido basi tunaweza kuwa Invincible kwenye EPL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom