Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
84'
Norwich 3 - 1 Man City



Norwich 3 - 1 Man City






Kuna watu watakuambia man city wana vikosi viwili,kilicho ndani ni kama kinachocheza tu.
Wako vizuri sana mkuu,na wenyewe mashambulizi yanaanzia kwa kipa hakuna butua butua .



Ni 3-2FT
Norwich 3 - 1 Man City
![]()
![]()
Ni 3-2
FT
Norwich 3 - 2 Man City
![]()
![]()
Huu ushindi wa Norwich umekuja mapema mno,wangesubiri round ya pili
tumetoka mbali leo hii Chelsea ya Roman inatamani iwe alipo Liverpool kweli mpira ni mchezo wa subira...Sisi tunakuja taratibu hatuna haraka mkuu ..wewe endelea kuongoza tu sisi tunajua ni wap utapotea..
Kila la kheri Chelsea![]()
hahaha kunamfaa sana huko kashaanza kusumbua humu ndani...Kesho anarud nafasi ya 8-9
Mark my words
Mwanangu una kitambi ..fanya mazoeziNipo na shabiki wa Liverpool Edbini Lunyamila hapa tunashangilia anguko la Manshiti,, tofauti yetu yeye Yanga mimi SimbaView attachment 1207716





Tunakuja kukichafua apo Anfield ..nakuhakikishia sisi ndo tutavuruga iyo record apo...



Man city amekaa kwa Norwich wakati mimi nilimkalisha tena apo kwake.Kesho anarud nafasi ya 8-9
Mark my words



Mkuu nimeupenda huo ubao kwa nyuma juu LIVERPOOL umetulia sana...Nipo na shabiki wa Liverpool Edbini Lunyamila hapa tunashangilia anguko la Manshiti,, tofauti yetu yeye Yanga mimi SimbaView attachment 1207716