The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,264
- 10,503
Uzuri wake kufunga ni ziada kwanza timu ishinde.Mwenye namba ya m pessa ya boby
Uzuri wake kufunga ni ziada kwanza timu ishinde.Mwenye namba ya m pessa ya boby
Mwenye namba ya m pessa ya boby
Nishamtumia bukuNimekutumia namba yake inbox
Hayo mambo yapo. We fikiria El Nino alivyokuwa moto lakini kwenda Chelsea tu akapotea.jamani jamani kumbe ilikua 'kweli' baadhi ya mashabiki wa Nando kusema Drogba alikua anamroga pale Chelsea....
kweli Afrika hakuna matata...
I love you too sukar yao...I love you Firmino
haha ni shinda sana aisee....watu wanaacha yao na kuanza kufanya mambo ya hovyo sana...Hayo mambo yapo. We fikiria El Nino alivyokuwa moto lakini kwenda Chelsea tu akapotea.
Hata Adebayor alishawahi kureport issue hizo hizo. Waafrika tuna mambo yetu.
Mkuu achana na Napoli angalia shughuli ya Norwich ya pukkiNipo nawaangalia napoli hapa dak ya 16 wanaongoza moja bila.
this Samba magician is just tooooo hooot now mpaka sasa inaonekana as if yupo mazoezini...Boby mungu anakuona....
Bobby the baddest...kuna assist alimpa Robby japo hakufunga mannnn that was sweeet...Bobby sio mtu mzuri aisee
Mkuu tumekua siku hizi wakapaki treni tunakua wapole mpaka tupate mpenyo hakuna papara....Mpaka sasa ni dk ya 21 hatujapiga hata shoot 1. Hatujacreat nafasi hata 1. Nachokiona hapa ni kile kilichowapata spurs. Jamaa wanadefend kwa nidhamu ya hali ya juu.
hope its just a knock nothing seriousOrigi down
biashara asubuhi....1st is 1st second is nothing...Man city hatumpi gepu hata la dakika 5 tunatimua vumbi kimya kimya hahahaha
he is just damn irreplaceable...such a rare gem...just does his business with so much ease...Uzuri wake kufunga ni ziada kwanza timu ishinde.


