ni sahihi kabisa kuanzia Septeba hii mechi zinakua nyingi mno na ni kweli pia back up inahitajika kila namba ili ikitokea majeruhi and i FORBID basi kuwe na wachezaji wenye uzoefu ku supplement mahitaji yetu hilo ni muhimu....hata msimu uliopita Lovren alichangia sisi kuchukua UCL pindi alivyohitajika....japo hao akina Ki Jana wangekua pia back up sawa kwangu kuliko huyu jamaa yaaani simwamini kamwe...ame stuck kabisa pindi achezapo EPL hua kiroho kinadunda maana muda wowote ni janga aisee...

Lovren kua chaguo la nne la kocha kwangu naona ni sawa kwa Klopp maana anachokiona kwake anajua mwenyewe... Klopp ana roho ngumu sana kumwamini jamaa hachelewagi kuchomoa betri huyu..tena aedelee kushuka hata awe chaguo la sita

Hili la wale makinda kumsubiri G8 akabidhiwe kikosi pindi Norbert akiachia ngazi kwangu nasema bado sana...tunahitaji kwanza afanikiwe pale alipo na sio apate free tiketi kwa vile ni Club Legend...wenye timu yao UK kwa hili naona lisipofanikiwa naona watasema Fentway OUT...mpaka sasa tunatakiwa tujifunze yaliyojiri Manu baada ya Fergie kung'oka...hili we should trend carefuly

Klopp katutoa parefu mno but with one emotional mistake we are JUST DONE and back to the Lambert, Baloteli nk era....kuedeleza atakapotuacha kwangu naona should be the main plan and if Gerrard will come better in the next 3yrs then th job is his to lose
Jk anajua anachokifanya ...sidhani kama dejan anaaminiwa kivile(mkumbuke karius mpaka wadau wakasema ni ndugu yake lakini kumbe alikuwa Kama botion huku anatafuta mbadala ndo akatua ali)...utaona Kama anamuamini ila ni baadhi ya mechi tu huku ukijua kuna kifaa anakitafuta kije ki'kave' nafasi...uzuri wa Jk hawez ingia sokoni kizembe anachukua muda mpka kumsajili mtu wa muhimu zaidi...ukiachana na wenye umri mdogo(na mara zote anaangalia na bei iliyoko sokoni na uhalisia wa mchezaji mwenyew-kumbuka ya coutinho na pepe) so hawez kukurupuka sahiv maana ameshaijenga timu ya vikombe na ishakuwa ndo tabia yetu Sasa kila final tunajua kuicheza na kuna wachezaj wake pia wanaoweza kucheza.....( Lakini Kuna fabinho anaweza akakipiga beki pia Yuko vizuri timu ipo bado)
.. Gerrard atakuja kutisha mkuu we Kuna kitu amekiongeza rangers sasa na misimu yote miwili wamo Europe league ..heshima kairudisha at least ila kikubwa Gerrard hawez kuwa Ole ..ya fargie na man u yanajulikana yule aliitoa club chini akaipa misingi then akabomoa na misingi sasa wanatafuta wa kuijenga upya huku zama zimebadilika sahivi presha kila kona...sisi misingi tunayo ...wakina rhian na havley watatisha wakiongezwa na mastar wengine 2022 tutakuwa vizuri....
 
MSIKIENI DEJAN...

"I feel relief the transfer window is closed. I got tired of reading and listening every day about me leaving or staying in Liverpool,” Lovren told Croatian newspaper Sportske Novosti.

“Everyone wrote 'Dejan is here, Dejan is there', and knew nothing! It annoyed me.

Yes, I did consider moving, I knew I gave my best for Liverpool, won Champions League and I am not kind of player that likes to be benched and earn money.

Some people around me advised me ‘What do you care, you are in big club, shut up take the money’ But I am not happy on the bench.

"I feel very happy because all the time I felt LFC was by me, I respect that a lot. Klopp told me ‘Listen, buddy, you are [a] top class player, we will not let you go on loan. We need you.’

“I wanted to leave, it didn't happen, I was told Liverpool needs me and I accepted that.

"Last week I spoke to Klopp again, he told me he understands me, knows I am not happy, but he also said "Look, now it is finished, I want you to reset your head, I find you important.

“I am in my prime age, in great shape, mentally ready and you can not buy experience."

Lovren has less than two years remaining on his current Liverpool deal, which could see the Reds change their stance over selling him in the coming months.

He is currently fourth in the pecking order behind Virgil van Dijk, Joel Matip and Joe Gomez.

Ulaya uchawi upo
 
Jk anajua anachokifanya ...sidhani kama dejan anaaminiwa kivile(mkumbuke karius mpaka wadau wakasema ni ndugu yake lakini kumbe alikuwa Kama botion huku anatafuta mbadala ndo akatua ali)...utaona Kama anamuamini ila ni baadhi ya mechi tu huku ukijua kuna kifaa anakitafuta kije ki'kave' nafasi...uzuri wa Jk hawez ingia sokoni kizembe anachukua muda mpka kumsajili mtu wa muhimu zaidi...ukiachana na wenye umri mdogo(na mara zote anaangalia na bei iliyoko sokoni na uhalisia wa mchezaji mwenyew-kumbuka ya coutinho na pepe) so hawez kukurupuka sahiv maana ameshaijenga timu ya vikombe na ishakuwa ndo tabia yetu Sasa kila final tunajua kuicheza na kuna wachezaj wake pia wanaoweza kucheza.....( Lakini Kuna fabinho anaweza akakipiga beki pia Yuko vizuri timu ipo bado)
.. Gerrard atakuja kutisha mkuu we Kuna kitu amekiongeza rangers sasa na misimu yote miwili wamo Europe league ..heshima kairudisha at least ila kikubwa Gerrard hawez kuwa Ole ..ya fargie na man u yanajulikana yule aliitoa club chini akaipa misingi then akabomoa na misingi sasa wanatafuta wa kuijenga upya huku zama zimebadilika sahivi presha kila kona...sisi misingi tunayo ...wakina rhian na havley watatisha wakiongezwa na mastar wengine 2022 tutakuwa vizuri....
umesema ndugu kwa misingi iliyopo kama haitabomoka kwa hiii misimu miwili ijayo basi Steve endapo atapata hii kazi ataridhi kikosi cha kuchukua makombe...

shinda ya hawa makocha wazawa ni kuamini pia wachezaj wazawa..hapo ndio wananipaga sana wasiwasi otherwise am in support he get the job

hilo la Lovren kwa vile msimu huu hajachomoa betri basi tum judge mwisho wa msimu huu...
 
IMG_6251.JPG
 
Mi namuaminia Michael Edwards ..namuona atafika mbali zaidi na Steve ..Ana jicho la kipekee kuona mbali...atamuambukiza Sg8 tabia za klop jahaz litasonga..YNWA
 
Dani Ceballos:
I’ve never seen anything like what I saw at Anfield; I haven’t seen a team that plays better, that presses like them, the way the fans carry them along. You spend so much time defending & when you want to catch your breath & get on the ball, they've taken it again.
 
Ukiwa ni mwanaanfield wanayoongea baadhi ya wapinzani unaona eishhh, mbona tulicheza kawaida kama ila kua opponent ndipo utawaelewa wakimaanishacho baadhi ya wapinzani
 
Mi namuaminia Michael Edwards ..namuona atafika mbali zaidi na Steve ..Ana jicho la kipekee kuona mbali...atamuambukiza Sg8 tabia za klop jahaz litasonga..YNWA
J.N.Klopp na M.Edward sifa ziwaende kwao wametufanye tuwe wazungumzaji ila EPL ikija tutakua wasemaji wakuu.
Ilifikia Mahali average players hawatutaki kah.!Midtables club walikua wanatuhenyesha ila kubwa tunakaza, wakatubatiza wazee wa mechi kubwa tu.
Kwa sasa moja haiwakai mbili hawaenei.
YNWA
 
€210m kwa Salah???

Kama Real wakizitoa hizo nashauri auzwe hata kabla ya dirisha la usajili kifunguliwa! Then tunapata wachezaji 3 safi kabisa wa €70m kila mmoja!

Hii ni If only sell to buy! Otherwise bora tubaki na Salah wetu.
 
Ku
Mkuu yaliyotukuta bei ya Andy Carol ni balaa jamaa walitupata vyema tulikua desperate kumpata strika wa kumridhi Nando the El nino ila duh tukaishia kupata super pancha.....

Klopp kwa kweli katutoa parefu mno...uwanjani na kibiashara pia ametutoa parefu....

bila Klopp tungeweza wapi kuwapata hawa akina Allison, VVD na kadhalika sasa atakaejipedekeza tu kwa hawa mastaa atalipa parefu... naona Mane Madrid hua magezeti ya umbea hayachezi mbali...tulimnunua £25m+ adds on..hapa sitarajii pungufu ya £150 m
Rafki yangu mmoja katika moja ya mazungumzo ya mpira alining'ata sikio klopp sio kocha wa makombe anawapotezea muda msimu wa nne bado yupo sifuri akasema mwangalie Pep kaja na kubeba (Alijikita kwejmnye EPL).
Nilimwambia mbali na hayo, Klopp ameturudisha ulaya CL,amerejesha mvuto wa klabu yetu nje na ndani ya uwanja tunawikaa kwa sasa, kwa hili tu makombe yatakuja.
Ah wapi ninyi wazee wa kujifariji kwa historia,.
Huko alipo kwa sasa atakua anasonya tu mbaya zaidi ni asenali lia lia.
 
J.N.Klopp na M.Edward sifa ziwaende kwao wametufanye tuwe wazungumzaji ila EPL ikija tutakua wasemaji wakuu.
Ilifikia Mahali average players hawatutaki kah.!Midtables club walikua wanatuhenyesha ila kubwa tunakaza, wakatubatiza wazee wa mechi kubwa tu.
Kwa sasa moja haiwakai mbili hawaenei.
YNWA

Katika pongezi musiwasahau FSG. Wao ndiyo wanaotoa hela zote za usajili! Klopp only anapendekeza! Edwards only ananegotiate! But FSG ndiyo wano execute mchakato kwa kutoa hela.

Bila ya wao kutoa Hela basi Klopp na Edwards are nothing

So, tuwakumbuke na wao.
 
Ni kweli mkuu,.
Sijawataja sana kwa sababu hata huko nyuma walikua wakitoa pia na matokeo yake ni ya tofauti na ya sasa ndio sababu ya mimi kuwapa heko hao wa wawili (,JK& ME)

Hata hivyo WANASTAHILI PONGEZI
 
Ni kwamba mechi hazijaanza kuchanganya kumbuka mwezi wa 12 karibia mashindano yote tumo mpaka klabu bingwa ya dunia ..lazima wawepo wazoefu Kama wale wakushikia pindi majeruhi ya kikosi Cha Kwanza yakiwakumba....Ila plan ya yule dogo beki mholanzi na ki_jana hoever na madogo wengine walio ndani na nje(mkopo) pia walichukuliwa rangers ni kwaajili ya Steven Gerrard ..jk atakapopumzika 2022 ...bado tutakuwa imara.
Hivi ni kweli KLOPP ,2022 anaenda Sabbatical ?
 
Mi namuaminia Michael Edwards ..namuona atafika mbali zaidi na Steve ..Ana jicho la kipekee kuona mbali...atamuambukiza Sg8 tabia za klop jahaz litasonga..YNWA
hapo ndugu tutakua vipoa sana, Micheal ni mtaratibu sana hua habahatisha, nadhani yeye husema kuchelewa kufika sio kutofika slow but sure...

he is the brain behind all this deals zilizotufikisha hapa...chemistry yake na Klopp so far so good..
 
Back
Top Bottom