bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 622
- 1,252
Point kubwa ni #LFC ana kikos finyu chenye wachezaj wachache wanaojua sana na hao ndio mala nying wapo first eleven mbadala wa hao wachezaj hawako vzur sana...
Lkn man city ana toka mtu anaingia mtu,
So kinachotukwamixha ni m
Sasa man cty anawachezaj wengi wazur na bado tuna compite kiasi hiki means tukiwa fit bas tunachukua.
Ukitaka kujua liverpool yuko vzur kipimo ni uefa (finalist back to back)
Wakat huo man cty hola.
Mchoko wa liver ndio unatuangusha epl ndio maana klopp saiv anafanya mzunguko wa wachezaj.
Gomez saiv anatokea bench, mane ana pumzxhwa dakk za 70, na kukumbuxha keita karud mazoezin.
#nikosoe nijifunze zaid
Lkn man city ana toka mtu anaingia mtu,
So kinachotukwamixha ni m
Kuchoka kwa wachezaj kwasababu league ina game nyng inatakiwa wachezaj wawe fit mala nying...Usijipe matumaini ambayo ni mazigazi kijana
Klopp midfield yake ni Fabinho, Gini na Henderson, Guardiola midfield yake ni Rodri, Kevin DeBruyne na Gundogan. Sasa kaangalie takwimu hao non-holding midfielders wa Guardiola(Gundogan,Debruyne na David Silva) huwa wanatoa assist ngapi na kufunga goli ngapi kwenye ligi halafu ulinganishe na kiungo pendwa ya Klopp yaani Hendo na Gini huwa wanatoa assists ngapi na kufunga golli ngapi
Tukija kwenye Forwards, Liverpool ana Salah, Mane na Firmino kama Forwards wanaoshinda goli nyingi huku Man City ana Aguero ambae kufunga goli 20 kwa msimu sio swali, kuna Sterling nae anafunga goli nyingi, kuna Sane nae anajitahidi(goli 13 anakupa), kuna Gabriel Jesus (goli 13 anakupa) benchi kuna Mahrez halafu sijamuongelea Bernado Silva
Wekeni mapenzi pembeni Liverpool yuko vizuri ila kipindi hiki kakutana na Manchester City chini ya Guardiola ambayo haina mchezo kwenye ligi.
Binafsi siwezi kuitabiria Ubingwa Liverpool, tutakuwa wote mashuhuda mechi ya mwisho ya Liverpool kwenye EPL.
Ila kama Guardiola asingekuja Uingereza basi huu ndio ungekuwa muda wa Liverpool kutamba tena kama ilivyokuwa kabla ya mwaka 1990
Sasa man cty anawachezaj wengi wazur na bado tuna compite kiasi hiki means tukiwa fit bas tunachukua.
Ukitaka kujua liverpool yuko vzur kipimo ni uefa (finalist back to back)
Wakat huo man cty hola.
Mchoko wa liver ndio unatuangusha epl ndio maana klopp saiv anafanya mzunguko wa wachezaj.
Gomez saiv anatokea bench, mane ana pumzxhwa dakk za 70, na kukumbuxha keita karud mazoezin.
#nikosoe nijifunze zaid