What do you understand kuhusu "off-ball movements"?
technical limited players wanaweza ku-perfect hiyo term ya "off-ball movement?"
If, Henderson anamlinda Trent akiwa high-up the pitch, then kazi ya Fabinho (Defensive Mid) ni ipi uwanjani? and inakuwaje a 1st phase presser kwenye MF-3 anafanya kazi ya kumlinda RB? can we term issue ya "ku-cover line spaces/angles from high up the pitch mpaka kwenye your own backline" kama kumlinda RB au kuziba counter-angles?
What is Hendo's position here? covering the lines/anamlinda Trent or isolating Fabinho in the middle?
and, talking about, off-ball movements, what are Henderson & Milner doing here? are they right kwenye suala la "off-ball movements? if yes, then who's covering For Fabinho ambaye he's getting pressed with two opponent players in the D-zone, and Kante with 2 eyes on Faby and blocking the lines kwenye kwa Milner & Bobby. so you have Faby surrounded by 3 chelsea players, aliye mbele ya Faby ana-act kama hajui kama Faby yuko nyuma yake, and anaangalia zaidi movements za miguu ya VVD...
Meanwhile, Hendo is pointing mbele, meaning he's shouting at VVD to pass the ball forward, so why yeye hakuomba hiyo pass? ni kwasababu yupo kwenye eneo ambalo hawezi ku-receive a long-cutting pas btn the lines, as you can see huyo aliyevaa jersey 27, (i think ni Azp), anaangalia movements za miguu ya VVD, second ambayo VVD atatoa pass kwa Hendo, tayari anakuwa ashafika kwa Hendo and try to press, so Captain analijua hilo na ndiyo maana akawa ana-shout VVD apige tu mbele, asijaribu kum-pasia. so VVD atafanya kitu gani hapa? ni pass the ball to Matip, and Matip passes it back kwa GK, then tunaanza ku-build-up upya. why? because ya SHIT OFF-BALL MOVEMENTS from Hendo & Milner. what is Milner doing there? yupo kwenye eneo la kuweza ku-receive na ku-release a good pass? Hendo? yupo kwenye eneo nzuri la kuweza ku-receive na ku-release a good pass between the lines? je what about space awaraness? how can you isolate your DM like that? it should be a 1-2 set up, not a useless Vertical line set up. Klopp playing a high-line defensive footie, because he wants these workhorses to try and form a compact MF, in a way of perfecting their roles, and let the Fullbacks attack high up the pitch. Fabinho sits back and defend both sidelines, Gini acting as a 2nd ball winner, and Hendo acting as a first ball winner nje kidogo ya box la opponents akitokea pembeni kuingia katikati, he's our main last-ditch presser/ball winner and 3rd creator behind Trent & Andy. Hendo was shit at 6 role because he lacks Off-ball movements skills. unless utanipa maana nyingine ya off-ball movements.
i dont hate Hendo, but for him to play good, you need to give role ambayo haiitaji akili/maamuzi ya haraka, as he's a pressing merchant, and pressing ni tofauti na defending.
so whats your knowledge kwenye suala la off-ball movements? and kwenye suala la defending/cover, Klopp decided to drop Hendo more central as 1 ball winner, baada ya kumuanzisha kama false LM, against Norwich, na kumpa majukumu ya ku-cover left flank + pressing high-up the pitch, huku VVD akiruhusiwa kusogea mbele zadi na Andy, ili kutengeneza a slightly "Trent, but it backfired as Hendo failed totally to protect/defend/Cover Andy na kumfanya Pukki awe na field day siku ile, and Klopp tried to change set up baada ya Norwich, now VVD/Matip are playing mostly mwisho kwenye 2nd phase ya backline, with Faby close to them covering both lines, and let the FBs push the ball forward.
Been saying for ages, Klopp is fieling a 433 formation, because bado hajapata his typical number 10. ni mtu ambaye ana-take time kutafuta players, tetesi ni kuwa we'll try for Aouar, next summer (can play 10/8). klopp been looking for his perfect 10 tangu Phil aondoke, he saw something in Fekir, but the deal fell through, na hakungahaika tena, and thats this summer alitaka kuwa na Coutinho tena. and thats Klopp, ana aina ya wachezaji wake, na huwa yupo willing kuwasubiri, check Aouar na utaelewa.
see, the diagram, for more details.
lets have a good discussion about this.
View attachment 1196215