Salah was more than selfish the other day..
it happens in football, & i guess rival fans should be talking about this issue zaidi kuliko sisi LFC fans because we know ubora wa Salah na anavyoisaidia club yetu week in - week out.
if it was still 0-0, i'm sure Salah angetoa ile pass, but he was chasing his goal at 3-0, it shouldnt be a bigger deal. bad decisions happens in football, its just that, we both have our favorite players and we always want them to be treated right, which is wrong kwenye mpira, as unashindwa kuwa na good view kuhusu huyo mchezaji.
Mane/Salah wote huwa wanafanya bad decisions at times, ni kawaida kwenye soccer, mambo yanayotokeaga kwenye dressing room ni makubwa & controvesial kuliko aliyofanya Mane that day, ni kawaida, huwa nasema kila siku kuwa, ni soccer ni mchezo wenye emotions sana..
Mane was right to react that way, shows that he wants to be better, he's hungry for more goals and wants the team to succeed even more, same to Salah too, wote wanataka team ifanikiwe, thats why huwa wanajitoa week in, week out bila execuses zozote, ni players ambao wamecheza minutes nyingi sana at LFC, especially Salah, so no need ya kuanzisha debates about our world class talents..
hizi reactions, ndiyo wanazotumia agents/rivals ku-convince big players kuondoka kwenye Club, or inakuwa kama EXCUSE akitaka kuondoka. we've come a long way as a CLUB, from the likes of Borini/Lambert/MB/one legged DS etc to the likes of Salah/Mane/Firmino, we should cheer them & appriciate them, hating or creating teams kwa hawa wachezaji haitosaidia..
Fans ambao wanamuita Salah selfish, probs watakuwa hawajawahi kuwaona peak Fowler/Owen or even Torres. Sturridge alishawahi kuwa quoted kuwa walikuwa wanagombana (at times) na Suarez kwenye dressing room baada ya mechi, so ni kawaida kwenye soccer, strikers strives for goals, unahitaji kuwa na aina hii ya players kwenye your attacking line.
Problem, ni kuwa, LFC fans wana-pride ya kupenda ku-prove wenzao wrong kwa kila nafasi wanayopata, nimefatilia mjadala wa Salah/Mane, naona kuna watu simply wanamu-attack Salah, because KING NGWABA anamtetea Salah/anamkubali Salah, and its so bad because my dude is doing nothing but voicing his views as a passionate LFC fan, and always uki-log in JF, unakutana na his good posts/breaking news, he's trying so hard to keep his fellow fans updated, but some people are just not happy about that, unakuta digs za hapa na pale kwa jamaa kila siku, why? cant we just enjoy? we support the same team, kupishana kimawazo/mihemko kupo na hakutakuja kuisha kwenye soccer, so y'all need to deal with it. i guess y'all mmemkuta
Janjaweed mpole kidogo, it was so tough coming up against him back then, because he'll tell you anachojisikia kwa wakati huo straight at your face and not giving a flying *** kwa utavyojikia (still, the releast dude on this platform), but y'all just throwing digs at each other kama watoto wadogo, after all, its just SPORT.
Man, for the past few years kulikuwa na TENSION sana humu, because we wanted to WIN something, now we have two big trophies in a calendar year, what more do we need? throwing digs at each other? hating on a Person who tries so hard to share his good views/opinions as a fan? cant we just be a goood huge family? everybody is entitled kwa opinions zake, so tuziheshimu & kama unaona baadhi ya posts za mtu zinakukera muweke tu kwenye your ignore list and move on, & again siyo kila post unayoiona lazima uijibu, kama imekukera unaiacha tu, why kikusumbue kitu ambacho HAKIKUINGIZII PESA?
we're having a very good ride as a CLUB now, miles better than United, matter of fact United are struggling a lot, so cant you just be happy? cant you just enjoy this moment?
Y'all need to embrace each-other man, life is too short Aisee, just be happy with your life. Man, me kila nikipata nafasi ya kuingia humu nakuwa na-feel ile happiness as if kama nilikuwa gizani, afu nikauona Mwanga, because you get to see your fellow Tanzanians voicing their views about the club you love the most, just enjoy, usiwe na habit ya ku-log in humu just kuja ku-prove a point au ku-attack mtu.
Keep doing you guys, enjoy every moment.