TUSHIKE LIPI SASA

salaam wakuu

Wakati tunajiandaa na mechi ya BURUNDI kumezuka kauli mbili zinazohamasisha ushindi wa timu ya Taifa

Waandishi wa Habari ambao hapo mwanzo walikuja na kauli mbili yao isemayo FYEKELEA MBALI BURUNDI na nadhan ndio ilikuwa kauli mbili ya taifa kwa mechi mbili hizi

Sasa Leo nao BONGO MOVIE kupitia msemaji wao ndugu STEVE NYERERE naye Kaja na yake inasema JIRANI HATOKI

najua zote n kauli mbiu lakini wangechagua moja ilosote tuimbe wimbo mmoja yann tugawanyike
Lakini pia hawa bongo movie walikuwa wapi toka mechi ya kwanza hadi wajitokeze Leo wameona nini
 
Liverpool wakikomaa wanaasilimia kubwa kuchukua ligi.
City ina injury za kutosha.
Na bado msimu mbichi kabisa.
Laporte,sane mpaka january at least.
Na liverpool akifanikiwa kuchukua point 4 au 6 kwa city apo ndo kabisa uhakika.
kabisa Goswe kwa mahesabu ya kitabu bado tuna nafasi nzur sana kulichukua...kazi sasa vijana wafanye kweli uwanjani.....

Manciti bana Pep anajua sana kutumia wachezaji waliowazima na ukiangalia msimu uliopita beki wa kushoto Mendy alicheza mechi chache mno lakini Pep alihakikisha haitakua uchochoro....

usishangae hii ya Laporte hata pengo lake lisionekane kabisaaaa...

Sisi Liverpool tukitoboa Deseba, Jan na Feb salama basi Manciti hana chake tena EPL..
 
IMG_6249.JPG
 
England vs Bulgaria
Captain Hendo anaanza kikosi cha kwanza!
Kumbe hata kocha Southgate nae anampendelea Hendo?

Midfielders za England

1) Declan Rice
2) Ros Barkley
3) Madison
4) Henderson
5) OX (from long term injury)

Hapo ndiyo pa kujisifu anapendwa?
Hebu waangalie hao anaoshindana namba nao yupi hapo kati yao unayeweza kusema mchezaji wa maana?

Hapo ni kuwa mwenye Makengengeza kamzidi mwenye chongo tu lakini wote wabovu.

Kwa kikosi hicho Hendo atacheza kila dakika Coz ni Kikosi cha wachezaji wa Kawaida sana ambao yeye atakuwa kama Messi.
 
Barkley na Madison wamezidiwa uzoefu tu ila uwezo wapo juu
 
Wenger to Bobby, Salah & Mane

Arsene Wenger perfectly describes how it is “difficult to find” a striker like Roberto Firmino

“I like [Salah] very much, he has huge potential, and Mane as well,” the Frenchman

“But you forget a little bit, the guy who sacrifices himself is Firmino.

“This piece of the jigsaw is always very difficult to find: a striker who is generous.”

By contrast, Wenger praised Salah in comparison with Lionel Messi, but argued that the Egyptian is “obsessed” with scoring, and would become a more well-rounded player with age.

“He’s 20 goals away [from Messi] basically, if you want to be as concrete as possible,” he continued.

“He has similarities with Messi, [but he] must find the consistency of Messi.

“He’s as good a finisher, but Messi has the complete thing, he gives the final ball as well, and Salah is a bit obsessed now with finishing himself.

“It’s a dimension that you get, certainly, when you grow a little bit older, to find the moment when you have to give the ball and when you have to finish.”
 
kabisa Goswe kwa mahesabu ya kitabu bado tuna nafasi nzur sana kulichukua...kazi sasa vijana wafanye kweli uwanjani.....

Manciti bana Pep anajua sana kutumia wachezaji waliowazima na ukiangalia msimu uliopita beki wa kushoto Mendy alicheza mechi chache mno lakini Pep alihakikisha haitakua uchochoro....

usishangae hii ya Laporte hata pengo lake lisionekane kabisaaaa...

Sisi Liverpool tukitoboa Deseba, Jan na Feb salama basi Manciti hana chake tena EPL..

Wiki hii nilikuwa naangalia highlights na marudio ya baadhi ya full games karata yangu mapema naitupia Anfield na kikosi chetu finyu bado nina matumaini makubwa ya PL trophy

Kwa kuwa msimu huu kuna mapumziko ya 2 weeks January & Feb sina hofu napo
 
Midfielders za England

1) Declan Rice
2) Ros Barkley
3) Madison
4) Henderson
5) OX (from long term injury)

Hapo ndiyo pa kujisifu anapendwa?
Hebu waangalie hao anaoshindana namba nao yupi hapo kati yao unayeweza kusema mchezaji wa maana?

Hapo ni kuwa mwenye Makengengeza kamzidi mwenye chongo tu lakini wote wabovu.

Kwa kikosi hicho Hendo atacheza kila dakika Coz ni Kikosi cha wachezaji wa Kawaida sana ambao yeye atakuwa kama Messi.
Dier
Winks
 
Hao wote ndiyo walewale tu

Kuwa na Timu ukamtegemea Dier kama Midfield basi ni kuwa umekosa wa kumchezesha.

Hebu tazama Timu yenye viungo wa Maana! Fabinho anakosa namba, Lakini Fabinho angelikuwa Muengereza unadhani asingeonekana Messi? Hata awe Majuri basi anhelichomwa sindano ili acheze.

Kinachowasaidia Waingereza juu ya ubovu wao ni commitment waliyonayo ndiyomana hata World Cup wakafika Semi Final tofauti na Timu zenye Macelebrities.
 
Liverpool wakikomaa wanaasilimia kubwa kuchukua ligi.
City ina injury za kutosha.
Na bado msimu mbichi kabisa.
Laporte,sane mpaka january at least.
Na liverpool akifanikiwa kuchukua point 4 au 6 kwa city apo ndo kabisa uhakika.
Mkuu timu za kutudondosha pointi zipo nyingi, Everton na Man Utd nawaona kabisa wakitudondosha points bado kuna wabishi kama Westham, Leicester City na hatujaenda Emirates kwa Arsenal ambae misimu miwili kama sio mitatu au zaidi hatujamfunga pale kwake

Tukija kwa Guardiola hawa Man Utd anawapiga nje ndani, Everton nao vile vile Arsenal ndio usiseme kabisa
 
Back
Top Bottom