Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hata fainal ni Mane piakaka
ukipata nafasi uwe una peruzi na forum za team zingine mara moja ili uweze kufahamu maoni zaid kuhusu wachezaji wako nje ya mapenzi binafsi yq liverpool..mfano chini
spurs(thefightingcock.com)..wanamwogopa mane kuliko salah
mancity(bluemoon.com)...ikikaribia mechi na wao akili ipo kwa mane,wakiomba walker aamke vizuri kweli)
na pia vs barcelona recently ni mane aliyetubeba single ended na kusababibisha origi awe free kuperform na hakujali kama alifunga yeye au la..wakati hapo salah angetaka kuwa kama messi
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".
Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.
Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.
Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.
Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.
Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.
Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.
Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.
Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
Fact 💯💯Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".

Duh mkuu mbona unaukuza mjadala wakati ushaisha? Mara wote ni muhimu, mara no salah no liverpool, mara mane anafoka so anajifanya mkubwa kuliko timu? Mara ngapi mane anakua na good game and still anatolewa?compare na mo salah hata akiwa hovyo ni mara chache hutolewa. Anyway wewe ukimponda captain sawa, ukimwombea akae nje maheruhi miezi sita sawa, ila watu wakiwa wakali kwenye uzembe wa magoli we unachukua upande na kuokoteza reference mbalimbali. Watu tunaona city anashinda 4-0, 5-0 sisi tunapata fursa tuongeze magoli tunapoteza kiboya boya why tusin'gake???Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".
Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.
Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.
Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.
Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.
Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.
Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.
Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.
Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
Wewe humkubali Mane, na unampenda sana salah na haukatazwi! You can defend him at any cost! I can read you between the lines.Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".
Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.
Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.
Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.
Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.
Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.
Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.
Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.
Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
Hapa umeongea points
Hii Timu hatuwezi kuwa na Mane pekee wala Salah pekee! Tunawahitaji wote wawili.
Na tuliwahi kucheza Chandimu vijijini tunajuwa kuwa sometimes inatokea mpaka Teammates mukarushiana Ngumi uwanjani kwa kulaumiana uzembe lakini Siku ya pili kwenye Mazoezi Munakuwa kama Jana hakuna kilichotokea.
Na kwahili la Mane na Salah ni issue ya Kawaida kulaumiana! Kwa wale waliowahi kucheza Chandimu vijijini Magungumka Kama Mimi.
Lakini Hawa Washabiki wa Mitandaoni ndiyo shida kufanya jambo hili ni bonge la issue.
Nakumbuka kwenye game ya Everton Mane alipofanya bad decision (Sipendi kuita selfish/Uchoyo) basi Mashabiki wa Salah (Mostly ni Egyptians) walimshambulia Mane mpaka Akafuta Posts zake Twitter.
Na Leo Mashabiki wa Mane (Mostly ni Africans) wanamshambulia Salah kwa Kufanya Bad decisions (Sipendi Kuita selfish/Uchoyo) katika Mitandao.
Hii issue naamini imeshasolvika kwenye Timu, Bali Mitandaoni tu ndiyo Watabakia kupiga kelele zisizo na Maana.
Salah ni binaadamu tabadilika tu hilo naamini.
true kabisa jana hata the Alpine Messi kapata minutes...Liverpool sasahivi ipo vizuri muhimu tu tusipate injuries zile za muda mrefu
mkuu katazame bonous za wachezaji Manu ndio utachoka...nakumbuka kuna mechi Sanchez na Pogba walikua wanagombania penati...Mzozo wa jana umenilazimu ningie google nione bonuses za goals and assists nimegundua goals zina bonus tamu maradufu ya assists ndio mana mana yanatokea haya
hapa tunaomba Klopp asimame nafasi yake kama baba yao na kwa vile wanamsikiliza tunaamini huu upepo utapita...Wewe umeona vyema kuna mtu kamsifia Salah akizani katoa pasi kumbe Boby kavamaia tu.
Kuna vitu nilisha ona mechi iliopita ni wazi Salah alshatengwa na wenzie na Mane kumsifia Boby ile mechi ya Asenal ilikua ni ujumbe kwa Salah ajabu hajajimfunza ndo anazidisha.
he is the diamond...so rare to find..Bobby is the SYSTEM. Daily Anaweka timu mbele kuliko maslahi yake binafsi. Huwapa nafasi teammates kuliko yeye. Nakumbuka kuna match moja Mane alipiga chenga kisha akashoot ila mpira ukawa unaenda slow kiasi kwamba Bobby alikuwa na uwezo wa kumalizia ila badala yake akafanya kama kuulinda mpira ule pasipo kuugusa mpaka ukazama ndani. Goli likawa la Mane.
The least selfish player in the team.
Sory mkuuNapenda kuwapa ushauri ndugu zangu mchawi wenu nishoga wa kiarabu aitwaye salah mzee wa msingi mbio
ATAWAHARIBIA TEAM SHOGA SALAH MUWE KAMA MAN U MAANA ANAKILI KAMA MUSIBA TU
***** FAKE EGYPTIAN GAY
Nawakubali hawa watuUkweli usiofichika MATIP ni most underrated player kwa Mashabiki wa Liverpool, Hawamzungumzii wala Kumpa sifa anayostahili.
Jamaa Kamfanya VVD awe huru muda wote uwanjani Kumonitor situation nzima ya Defence inaendaje.
Niliwahi kupingwa Siku niliposema kuwa Liverpool ndiyo yenye Defence bora kwa sasa Duniani coz watu bado Wanakariri kina Pique na Chiellini wakidhani bado wana uwezo uleule wa miaka ya 2010.
Narudia kusema tu Partnership ya VVD-MATIP kwasasa haina mpinzani.
Subiri arudi Alisson tuanze kuhesabu Clean sheet
View attachment 1194870
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".
Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.
Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.
Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.
Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.
Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.
Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.
Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.
Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
Duh mkuu mbona unaukuza mjadala wakati ushaisha? Mara wote ni muhimu, mara no salah no liverpool, mara mane anafoka so anajifanya mkubwa kuliko timu? Mara ngapi mane anakua na good game and still anatolewa?compare na mo salah hata akiwa hovyo ni mara chache hutolewa. Anyway wewe ukimponda captain sawa, ukimwombea akae nje maheruhi miezi sita sawa, ila watu wakiwa wakali kwenye uzembe wa magoli we unachukua upande na kuokoteza reference mbalimbali. Watu tunaona city anashinda 4-0, 5-0 sisi tunapata fursa tuongeze magoli tunapoteza kiboya boya why tusin'gake???
Wewe humkubali Mane, na unampenda sana salah na haukatazwi! You can defend him at any cost! I can read you between the lines.