Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo salah,anapokua uwanjani anawaza ufungaji bora na kiatu cha dhahabu tu
 

Hapa umeongea points

Hii Timu hatuwezi kuwa na Mane pekee wala Salah pekee! Tunawahitaji wote wawili.

Na tuliwahi kucheza Chandimu vijijini tunajuwa kuwa sometimes inatokea mpaka Teammates mukarushiana Ngumi uwanjani kwa kulaumiana uzembe lakini Siku ya pili kwenye Mazoezi Munakuwa kama Jana hakuna kilichotokea.

Na kwahili la Mane na Salah ni issue ya Kawaida kulaumiana! Kwa wale waliowahi kucheza Chandimu vijijini Magungumka Kama Mimi.

Lakini Hawa Washabiki wa Mitandaoni ndiyo shida kufanya jambo hili ni bonge la issue.

Nakumbuka kwenye game ya Everton Mane alipofanya bad decision (Sipendi kuita selfish/Uchoyo) basi Mashabiki wa Salah (Mostly ni Egyptians) walimshambulia Mane mpaka Akafuta Posts zake Twitter.

Na Leo Mashabiki wa Mane (Mostly ni Africans) wanamshambulia Salah kwa Kufanya Bad decisions (Sipendi Kuita selfish/Uchoyo) katika Mitandao.

Hii issue naamini imeshasolvika kwenye Timu, Bali Mitandaoni tu ndiyo Watabakia kupiga kelele zisizo na Maana.

Salah ni binaadamu tabadilika tu hilo naamini.
 
Lol
 
Napenda kuwapa ushauri ndugu zangu mchawi wenu nishoga wa kiarabu aitwaye salah mzee wa msingi mbio


ATAWAHARIBIA TEAM SHOGA SALAH MUWE KAMA MAN U MAANA ANAKILI KAMA MUSIBA TU

**** FAKE EGYPTIAN GAY
 
Acha kutete ushoga salah hana tofauti na musiba au mourinho
 
Ukweli usiofichika MATIP ni most underrated player kwa Mashabiki wa Liverpool, Hawamzungumzii wala Kumpa sifa anayostahili.

Jamaa Kamfanya VVD awe huru muda wote uwanjani Kumonitor situation nzima ya Defence inaendaje.

Niliwahi kupingwa Siku niliposema kuwa Liverpool ndiyo yenye Defence bora kwa sasa Duniani coz watu bado Wanakariri kina Pique na Chiellini wakidhani bado wana uwezo uleule wa miaka ya 2010.

Narudia kusema tu Partnership ya VVD-MATIP kwasasa haina mpinzani.

Subiri arudi Alisson tuanze kuhesabu Clean sheet

 
The fact is wengi wao wanamchukia sana Salah

Chunguza hata hapo unapoishi nani mashabiki wa Liverpool wanampenda kati ya Mane na Salah watakuambia Mane na Firmino
Kwa tukio la Jana naamini Klopp ashaongea nao vijana. kwani hata last season game ya away na spurs Sadio Mane alimnyima Salah pasi ya wazi na watu walimsema sana mane Leo hii haohao wanamsema salah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…