Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Salah is a great attacker... But Mane attacks, defends, cover for th middle etc.... Having both in the team is the best thing but mane contributes moreKilichobakia tusubiri mwisho wa msimu tuangalie tumevuna nini!
Mane ni Muhimu kwenye Timu kwa nafasi Yake
Na Salah ni mihimu kwenye timu kwa nafasi Yake
Tukisema Salah si Mkubwa kuliko Timu
Pia Tusisahau kusema na Mame si Mkubwa kuliko Timu, Kwahiyo tukisema Salah auzwe au aekwe bench kwa Sababu Mane kanuna! Tujiulize Mane ni Kama nani kwenye Timu?
Wote ni sawa tu