Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Gomez namshauri amuombe Klopp amruhusu tu akacheze mechi za U23 kwani sioni tena akimtoa kikosini Matip unless Matip apate injury
Leo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!
Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).
Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.
Gini kanifurahisha sana aiseeLeo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!
Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).
Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.
Vipi aron kanywa sumu au ?Nimepinda kwenye Uzi wa aseno huko jamaa wanagomba hao, daaaaah

Leo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!
Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).
Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.
Klopp sijui huwa anavuta bhangi za wapi
Lallana wa nini sasa pale
Mosdef tunaomba maoni yako katika hili
Leo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!
Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).
Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.
Me nikashangaa mbona kila mtu anacheza vizuri tu,anafanya sub ya nini?hadi mchezaji wako usiyempenda Henderson kacheza tu vizuri.

Simpendagi ila leo kaupiga mwingi sanaKacheza vizuri mnoo
Simpendagi ila leo kaupiga mwingi sana
Nafikiri Hujanielewa lini Henderson akawa top scorerHumpendi top goal scoaler misimiu miwili mfululizo?
NB: nayakubali mawazo yako.
Nafikiri Hujanielewa lini Henderson akawa top scorer