ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
King! Gin mzuri Sana kwa kupokonya mipira.Leo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!
Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).
Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.