Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

HT
Livepool 1-0 Arsenal.

45 first half, tumecheza vizuri sana japo kulikuwa na erra kama mbili hivi kwenye backline yetu karibu ingetugharimu. Tumekabia juu kabisa, bobby muda wote alikuwa pale juu, zile back passes leo sijaziona. Hii nadhani ni kwa sababu ya ile mistake ya last game.

Kross alizokuwa akipiga TAA hazikuwa nzuri, zilikuwa zinavuka malengo. Zilitakiwa kudondoka pake ktkt ya 18.

Heddo hii half kaupiga mwingi, Robbo was fantastic to watch, Matip anazidi kuwa juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom