Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Why? Did you see anything interesting?
Yeah man!

wanted to see reaction ya Spurs zaidi.

...and they reacted very well.

Said kwenye posts zilizopita kuwa, Spurs wanaweza kuwa huge threat kwetu kwenye league kama Poch akiweza ku-adjust wachezaji wake wapya vizuri, especially Ndombele.

Its so scary kuona, kuwa Spurs walifanikiwa kutoka na point at Etihad, (in a 2-2 draw), without Son and Dele, guess hiyo inatuonesha ubora wa kikosi chao this season, kulingana na additions walizofanya, they have top class wingers Moura/Lamela etc as subs/rotational players, add Lo celso and Ndombele and their midfield is sorted for years.

Last season, it was a 2-horse race (us & City), but this season nadhani Spurs will join the party. and its going to be very very very tight at the top..

Ndombele and Keita ni players wanaofanana sana kiuchezaji, but Keita is slightly better because of his dribbling skills & goal-scoring ability. but mpaka sasa bado hatujamuona Keita tunayemuhitaji because "he's getting adjusted". Man, people will tell you ni kwasababu ya Injuries, but ni games ngapi ambazo ali-miss sababu ya Injuries last season? comparing na games ambazo aliachwa bench kwasababu ya kuwa "adjusted?" Keita alianza kupata consistent setbacks kuanzia march/April, and his huge setback ilikuja baada ya ile game dhidi ya Barca at Camp Nou, alipoumizwa na Raktic, na ndiyo injury inayomsumbua mpaka sasa, but kipindi chote cha nyumba (80%), alikuwa anawekwa bench kwasababu ya kuwa "adjusted", umeona Poch anachofanya kwa Ndombele? kwenye game ya kwanza dhidi ya Aston Villa alikuwa na first half mbovu sana, but Poch didnt sub him off, na jana kamchezesha kwenye game kubwa dhidi ya City and he had a very good game, lile goal la Lamela ilikuwa ni kazi ya Ndombele, but at LFC, i remember Keita kwenye game yake ya kwanza dhidi ya West ham, he had a very good game and after series of other good games, akaja kuwa na game ya wastani dhidi ya Leicester, and hatukumuona tena kwenye starting line up for a while, kwa kigezo cha kuwa "he's getting adjusted", unamu-ajdust vipi mchezaji kwa kumuweka Bench?? 55m investiment. you can say the same kuhusu Pep na Rodri, angeweza kumchezesha Gundogan as a 6 kama alivyokuwa anafanya kwenye baadhi ya game last season, but No, kamuingiza Rodri moja kwa moja kwenye role, thats how you adjust talented players, because they just need "minutes" to prove their worth.

Spurs, spent 90 minutes trying to contain that City's midfield, and walifanikiwa (Yes, they got outplayed in possession), but they managed the tempo vizuri sana, and that shows wamejiandaa vipi na huu msimu. so as a sportsman you gotta give props to Poch and Pep for y'day game, it was a good ride, me ni fan wa "end to end" games. ndo maana huwa nasubiria kwa hamu sana games za LFC Vs City/Spurs/Arsenal/Leicester/Bournemouth/Westham and now Nuno's Wolves, because kwenye hizi games Klopp huwa anarudi kwenye his old self na ku-let everything flow, haha!
 
Hii ni kwa yoyote kocha wetu hajiamini kutumia wachezaji mchanganyiko hapa utaona tunasifia Man city kua inabakup nzuri hii ni kwa sababu wote wanapewa nafasi hivyo kujiamini kuna kwepo.kama mchezaji huaminiwi mpaka mtu aumie ukiingia unakosa kujiamini mchezaji mbadala huwezi maliza mechi tano hafu umnyime japo dakika 15 inanishangaza sana hata hawa wachambuzi wetu humu hawalioni hili kila siku Salah amalize dakika zote hamuoni tunajenga tatizo la kesho? Mfano mzuri hebu angalieni sub za Totenham jana na Mancity yani inaonekana hata Totenham inawachezaji wengi wanaocheza kuliko sisi kwangu mimi hainiingii akilini nnacho amini ni mbinu za kocha ndo mbovu Unai ana watoto 4 anawatumia sisi wetu tumegawa yani hata Solsha anamakinda sie hatuna na wakiwepo ni mpaka itokee bahati mbaya kutumika.mfano mwingine angalieni mechi na Norwichi tunaongoza 4 Milner na Mane ndo waliongizwa kwa mtindo huu kweli tutakua na bakup nzuri?imekua bora Glujic kubaki huko aliko mana kwa Kloop angepotezwa tu

Yangu ni hayo tu
 
Tokea CL last season nahisi Poch akikutana na City anafaidika na VAR.

Kwenye CL Tot alipita kwa msaada wa VAR, na Jana pia kapita kwa msaada wa VAR.

Lakini tuwe wakweli, Bila ya VAR Man City kwenye EPL nayeye anafaidika na maamuzi ya kihuni sana tu.
kuna analysis nilisoma mahali inaonyesha kama VAR ingetumika last season sisi ndiyo tungekuwa machampioni wa EPL.

ManCity analo mwaka huu!!
 
Yes, he is a talent that we are misusing. We should find a way how to make good rotations.
I agree he's talented.

problem is he's prone to committing goal conceding mistakes when pressed by the opposition - I think this is where Klopp has a problem with him.
his defensive attributes are flawed and he needs to improve on that.

unakumbuka home game vs Soton last season alikuwa substituted half time kila mtu alishangaa? alikuwa ana perform vizuri sana offensively but the team was being starkly left wide open on multiple occasions.
 
I see "immature" people still hating on individuals wanaotoa props kwa Pep Guardiola.

Man, nakumbuka i used to hate Sir Alex Ferguson a lot, God atanisamehe because ilifika kipindi nilikuwa natamani jamaa afe, why? because the guy was winning everything, he was on top of English football for over 22-23 years, Wenger/Mourinho/Houllier/Benitez/Carlo etc, fought him, won the battle occassionaly, but the WAR? he always came on top.

But, as i grew older, nikaanza kuona the greatness of Sir Alex, he was a genius man, one the best coach, if not the best coach i've witnessed in my life. sometimes you gotta give props kwa watu aina ya Sir Alex, and let not lie to ourselves, we'd kill to have him at LFC, we'd kill kwa mafanikio aliyoipa Utd over the years. Period.

So, i dont understand, napoona a "grown" man anachukia watu wanavyotoa Props kwa Pep, the guy is a top top coach man, and his CV is there to see. why unamchukia mtu ambaye ameshinda trophies kila sehem aliyoenda kufundisha? cant you just be inspired? this dude ameshinda 2 EPL titles mfululizo with 198 points, Fergie/Mou and a prime Wenger hawajawahi ku-pull that shit off, why cant you be inspired? nitaelewa kama mtu atakuwa hampendi Pep kwa ajili ya Upinzani tu, but kuchukia kisa anapewa props? thats stupid. (especially, from a grown soccer fan).

I love Klopp, he's the best thing to ever happened to LFC, and i maintain what i said tulivyoshinda CL kuwa "pound 2 pound, he's the best Coach in the world right now" but overall, i cant go infront of grown soccer fans, and scream with my chest open that "Klopp is better than Pep", Klopp will leave LFC as a LEGEND, and atakuwa na mafanikio sehem yeyote atakayoenda, but for now lets not get blinded na fact kuwa yupo LFC na kumpa sifa za uongo, as the man himself hapendi hizo "sifa", and he'd laugh kama ukimuambia kuwa ni "better than Pep, overall".

Football, ni game of ideas, na ideas zinabadilika kulingana na game inavyokwenda, so managers wanatakiwa kubadilika na mfumo wa ideas uliopo sasa, ndiyo maana young managers (Pep/Klopp/Poch/simeone/Nuno/Nagelsmann/Ten hag/Tuchel etc) are running the game now, in term of new ideas and tactics, ni rahisi sana kwa old school managers (Carlo/Mou/Wenger/Bielsa etc), kuwa schooled na kina Ten hag kwasababu ya mnyumbuliko wa ideas mpya, old school managers wengi wanapenda ku-stick na their old model/setups kwasababu ubongo unakuwa hauwezi ku-access new ideas or formalities, ndiyo maana wanatafuta players wa kuendana na ideas zao zile zile. but just because these young managers are on top of the game now, huwez kuja from nowhere na kuanza ku-claim kuwa they're better than Fergie/Mou/Carlo/Wenger etc, because wanatakiwa kufanya kile walichofanya hawa kwenye GAME ili kuwa na strong claim ya kusema kuwa ni BORA zaidi yao, and of all the "Young" managers, ni Pep tu mwenye strong claim ya kusema hivyo, kati ya Fergie/Mou/Carlo/Wenger, ni Fergie tu aliyempita number of trophies (28 kwa 26, excluding community shield, y'all can correct me kama nimekosea kidogo kwenye numbers). and Pep ana miaka 11 tu kwenye hii kazi, why cant we just appriciate him? because like him or NOT, he'll finish his career as the most succesful manager in football history, and we cant do nothing about that.

Yes, i agree 100% kuwa Klopp angekuwa na mafanikio kama ya Pep kama naye angepita kwenye Clubs alizopita Pep na kutumia a lot of money, but he chose to be a "Miracle worker", and thats him, you cant force him to change, nobody is forcing him to stick with Henderson or Milner in the first XI, nobody is forcing him to have a small squad, and nobody forced him to join us wakati Utd/Bayern and Madrid walikuwa wanamuhitaji, its just him. so dont blame him kwa kuamua kuwa alivyo and dont compare him na manager mwenye bigger CV. and Pep was once quoted kuwa "he wants quality over quatity", and quality costs a lot of money.

Pep, prefers possession footie, and players wenye hii ability ni rare na wana-coast a lot of money, Juzi tu hapa Klopp alikuwa anahitaji Possession players and guess what we spent more than £200m kwa 4 based possessional players (Alisson/VVD/Faby/Keita). but we're calling Pep a cheque book manager, the issue is good players costs a LOT of MONEY.

Pep and Klopp are great friends, and i like them both, because they motivate eachother, on and off the pitch, we're able to compete with City because of Klopp's will to try and prove kwa Pep kuwa i can beat you with these stooges in the MF, and Pep kila siku anaumiza kichwa ni jinsi gani anaweza kutengeneza a bigger gap baina yetu na yeye. and thats how football should be, Young managers showcasing their talents, bila kuangalia ubora wao kwenye CVs, cant you just enjoy that?? i mean Pep angekuwepo LFC wote humu tungekuwa tunawatambia watu kuhusiana na CV yake, tena personally, ningekuwa namtambia Belo/Nzi kuwa he's better than Fergie, but i have Klopp and wont trade him for anybody in the world football, NOT even Pep ninayemuongelea hapa, and i'm so proud he's managing my Football club, couldnt ask for more, he's the only fucking manager in the world who can make me LOVE him and HATE him at the same damn TIME, so nahitaji nini zaidi? ...but i would never hate on Pep or hate the fact that my fellow reds love Pep more than Klopp or wanadhani kuwa he's better than Klopp, because kama ninavyosema kila siku, kuwa Opinions are very important in football, and everybody ana haki ya ku-react anavyojisikia kulingana na wakati husika. PERIOD.

Speaking about Football/soccer reactions!!! Man cant believe i praised Henderson after that CL final?? Looooool, you dudes are bad people, i swear, hata hamkunishitua! but its all good man. I LOVE FOOTBALL, & I LOVE Y'ALL. STAY BLESSED.
 
Klopp ni kocha ambae hapendi kama sio hajui rotation
Nnacho amini mimi ni kama Morinho akishapata first 11 yake ndo basi tena yani hawajiamini na mbinu zao bali hutegemea ubora wawachezaji ndomana team anazofundisha huchoka sana msimu mpya niamini mimi tuna wachezaji wazuri sana tatizo ni namna ya kuwatumia tu

Kocha mwenye malengi mazuri nabtimu hawezi kumuuza dogo kama Ran kent na Wilson Gimez na Anold pamoja na Starling hawa wote walipewa nafasi na Brendan
 
Klopp ana katabia Flani kama Pep hivi linapokuja Suala la kutompenda Mchezaji, Siwezi kuamini kuwa Ndiyo Xhaqiri hadeserve hata dakika 5 za majeruhi.
kama ni kweli Shaqiri hapendwi nadhani swali linatakiwa liwe kwa nini hapendwi.

mimi I think ni vile defensive attributes zake (very important to Klopp for his accustomed midfield set up) ziko very much flawed.

so I will advise Shaqiri that "it's Klopp's way or the highway"!
 
Yeah man!

wanted to see reaction ya Spurs zaidi.

...and they reacted very well.

Said kwenye posts zilizopita kuwa, Spurs wanaweza kuwa huge threat kwetu kwenye league kama Poch akiweza ku-adjust wachezaji wake wapya vizuri, especially Ndombele.

Its so scary kuona, kuwa Spurs walifanikiwa kutoka na point at Etihad, (in a 2-2 draw), without Son and Dele, guess hiyo inatuonesha ubora wa kikosi chao this season, kulingana na additions walizofanya, they have top class wingers Moura/Lamela etc as subs/rotational players, add Lo celso and Ndombele and their midfield is sorted for years.

Last season, it was a 2-horse race (us & City), but this season nadhani Spurs will join the party. and its going to be very very very tight at the top..

Ndombele and Keita ni players wanaofanana sana kiuchezaji, but Keita is slightly better because of his dribbling skills & goal-scoring ability. but mpaka sasa bado hatujamuona Keita tunayemuhitaji because "he's getting adjusted". Man, people will tell you ni kwasababu ya Injuries, but ni games ngapi ambazo ali-miss sababu ya Injuries last season? comparing na games ambazo aliachwa bench kwasababu ya kuwa "adjusted?" Keita alianza kupata consistent setbacks kuanzia march/April, and his huge setback ilikuja baada ya ile game dhidi ya Barca at Camp Nou, alipoumizwa na Raktic, na ndiyo injury inayomsumbua mpaka sasa, but kipindi chote cha nyumba (80%), alikuwa anawekwa bench kwasababu ya kuwa "adjusted", umeona Poch anachofanya kwa Ndombele? kwenye game ya kwanza dhidi ya Aston Villa alikuwa na first half mbovu sana, but Poch didnt sub him off, na jana kamchezesha kwenye game kubwa dhidi ya City and he had a very good game, lile goal la Lamela ilikuwa ni kazi ya Ndombele, but at LFC, i remember Keita kwenye game yake ya kwanza dhidi ya West ham, he had a very good game and after series of other good games, akaja kuwa na game ya wastani dhidi ya Leicester, and hatukumuona tena kwenye starting line up for a while, kwa kigezo cha kuwa "he's getting adjusted", unamu-ajdust vipi mchezaji kwa kumuweka Bench?? 55m investiment. you can say the same kuhusu Pep na Rodri, angeweza kumchezesha Gundogan as a 6 kama alivyokuwa anafanya kwenye baadhi ya game last season, but No, kamuingiza Rodri moja kwa moja kwenye role, thats how you adjust talented players, because they just need "minutes" to prove their worth.

Spurs, spent 90 minutes trying to contain that City's midfield, and walifanikiwa (Yes, they got outplayed in possession), but they managed the tempo vizuri sana, and that shows wamejiandaa vipi na huu msimu. so as a sportsman you gotta give props to Poch and Pep for y'day game, it was a good ride, me ni fan wa "end to end" games. ndo maana huwa nasubiria kwa hamu sana games za LFC Vs City/Spurs/Arsenal/Leicester/Bournemouth/Westham and now Nuno's Wolves, because kwenye hizi games Klopp huwa anarudi kwenye his old self na ku-let everything flow, haha!
Nlicho ona Ndombele ni 6 ndo anakua vizur hata hiyo gem ya mwanzo poch alimpanga kulia kipindi cha pili akamrudisha kati tukaona uwezo wake jamaa bonge la mchezaji kwa nilivyo muona
Kwa mido zetu za nyuma hakuna anemkaribia
 
kuna analysis nilisoma mahali inaonyesha kama VAR ingetumika last season sisi ndiyo tungekuwa machampioni wa EPL.

ManCity analo mwaka huu!!
check these ones out...

mkuu yote haya ni maeneo yangu ya kujidai.
humu ndani muna fundi anaitwa mosdef na wanafunzi wake ndio wananifanya nipite humu japokuwa huyu jogoo namchukia

Ha ha ha!

Kuna siku nilifanya copy paste ya post ya MosDef nikatema madini kijiwe fulani hivi, ilikuwa issue za formation.

Mpaka leo kile kijiwe wananiona kama mtalaamu wa soka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom