Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Season hii tumekuwa 2nd Half Team
Nyooo nyooLooserfools mnapigwa 2 kwa 1... Let's wait
Labda wamechoka mkuuGame ya leo tuna wachezaji 7 tu dhidi ya 11 wa Soton.
1) Adrian
2) TAA
3) Matip
4) VVD
5) Tobbo
6) Milner (Angalau)
7) Mane
Lakini 4 hawamo uwanjani
1) Gino
2) OX
3) Bobby
4) Salah
Huyu golikipa ajiheshimu aisee, anafungishaje goli la kijinga hivyo? Karibia tupigwe la pili shenzy kabisa!huyu kipa KMMK
MS€ΠG€ sana