Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

nakubaliana na wewe Chelsea mna fan base kubwa kuliko sisi.

#Let's talk about success
 
Hii team haichukuwi ubingwa mpaka nipate wajukuu.. Sasa alafu sijaoa [emoji23][emoji23]
 
Hapo sawa. Beki TAA na Matip akianza na VVD. Kati angalau kuna forward-minded person.
 
Kwenye Mido sijui game plan ya Klopp but no comment at all mpaka nione watakavyodeliver
 
Kama kawaida Front 3 ni punda wetu hawa Mwanzo mpaka mwisho wa Msimu.
Akikosekana mmoja tu hatuna safari.
 
Game inaweza kuwa ngumu au Nyepesi kutegemeana na game plan ya Klopp.
 
Mpaka sasa sijajua kuwa Hendo na Fabinho wamepumzishwa kwasababu ya Game ya Arsenal ama kuna reason behind ya kuachwa bench.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…