Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,745
Points
1,500
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,745 1,500
liverpool-logo-png.822971

Full name: Liverpool Football Club

Nickname(s): The Reds

Founded: 3 June 1892

League: Premier League

Website: LiverpoolFC.com


anfield-jpg.822972

Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m


henry-jpg.822990

Principal Owner: John W. Henry

werner-jpg.822995

Chairman: Tom Werner

klop-jpg.823004

Manager: Jürgen Norbert Klopp
Liverpool Trophies:
League Tittles: 18

Premier League Champions: 18 (1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90)

European Trophies: 12
UEFA Champions League: 6 (1976/77, 1977/78, 1980/81, 1983/84, 2004/05, 2018/19)
UEFA Europa League: 3 (1972/73, 1975/76, 2000/01)
UEFA Super Cup: 3 (1977, 2001, 2005)

FA Cup Trophies: 7 (1965, 1974, 1986, 1989, 1992, 2001, 2006)

League Cup: 8 (1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12)

Community Shield: 16
FA Community Shield: 2 (2001, 2006)
FA Charity Cup: 13 (1964, 1965, 1966, 1974, 1976, 1977, 1979, 1980, 1982, 1986, 1988, 1989, 1990)
Sheriff of London Charity Shield: 1 (1906)

Other Trophies:
Second Division: 4 (1893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62)
Lancashire League: 1 (1892/93)
Football League Super Cup: 1 (1985–86)

img_20190602_193533-jpg.1115542


img_20190602_193617-jpg.1115544

Liverpool Football Club celebrate as they Crowned Champions League Winners(2018/19)


squad-jpg.823039

Liverpool FC Squad (2017/18)
Follow this thread for team updates!
 
Last edited by a moderator:
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
12,225
Points
2,000
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
12,225 2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Messages
3,862
Points
2,000
MASAMILA

MASAMILA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2014
3,862 2,000
Mkuu kwasasa kupata Combo ya RIO-VIDIC sio jambo rahisi, Ukiwa na Rudiger basi mweziwe ni Christensen, Ukiwa na Maguire basi mwenziwe atakuwa Lindelof, Ukiwa na VVD basi mwenziwe ni MATIP/GOMEZ.

Kwahiyo kupata Mabeki wawili wenye uwezo sawa kama wa VVD kwenye timu moja sio jambo rahisi.

Mmoja akiwa ni Super Strong mwengine awe Strong tu.

Gomez akigain full Fitness hizo errors zote unazoziona zinafichika.
Wenye CB wazuri wapo mfano Real Madrid, Atletico Madrid, Juventus, Manchester city, Tottenham Hotspur etc
 
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Messages
5,432
Points
2,000
Southern Highland

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2017
5,432 2,000
Mkuu Southern Highland kwema...duh kwa staili hii huyu kesho atakufungeni...

Kimaro na Ollachuga wape hae sanaa n wape pole kwa kipigo
Kwakile kilichotokea OT sitegemea maajabu zaidi. Naacha dakika 90 ziamue sina expectations za kufanya vizuri wala vibaya wacha vijana wapate experience.
Hapo anachukuwa mazoezi ya kuja kuwachinja Chelsea Ndani ya Instambul ambapo our Greatest Captain ever amewachinja AC Milan.
 
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Messages
11,460
Points
2,000
AdvocateFi

AdvocateFi

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2012
11,460 2,000
According to @MaddockMirror
Naby Keiita left training early today in Istanbul with what looks like a Muscle problem
Keita OX Lallana hawa wote kumaliza mechi 3 bila kusikia injury ni vigumu sana
 
hamis77

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
448
Points
250
hamis77

hamis77

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
448 250
Kwakile kilichotokea OT sitegemea maajabu zaidi. Naacha dakika 90 ziamue sina expectations za kufanya vizuri wala vibaya wacha vijana wapate experience.
Endeleen kusema hivo hivo gafla mtajikuta mnagombea nafas za 10-18 na kina Norwich
 
Mtu fulani

Mtu fulani

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
470
Points
1,000
Mtu fulani

Mtu fulani

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
470 1,000
Huyu mmatumbi atakua karogwa (dark arts)
Spair mkononi, zamani kulikuwa na Bus linaitwa UMBA lilikuwa linatokea huko kwetu Mlalo Lushoto kuja Dar, hilo hadi Gear inashikiliwa na Konda, sasa ndo Keita
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
8,975
Points
2,000
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
8,975 2,000
hii timu yetu ingempata AM kama Eriksen - au Ox akiweza kurudi kwenye kiwango chake mapema - aisee nina uhakika tungeweza kuchukua double ya EPL & UCL msimu huu.

anyways, even without that improvement in the AM department, i'll still put my money on us retaining the UCL trophy. anyone?

1565778916694-png.1181130
1565779265479-png.1181136
1565779198075-png.1181135
 

Attachments:

Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Messages
2,239
Points
2,000
Pain killer

Pain killer

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2017
2,239 2,000
Msimchukulie chelsea kibonde ngonja muone jogoo atakavyo nyolewa kwa panga butu
 
mr94

mr94

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2017
Messages
264
Points
500
mr94

mr94

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2017
264 500
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2008
Messages
12,750
Points
2,000
Malafyale

Malafyale

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2008
12,750 2,000
God bless Liverpool
Leo vijana wanaingia dmbani pale Istanbul kutetea jezi
Tuzidi kushikamana,mambo mazuri yanakuja!!
 
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
8,975
Points
2,000
M-mbabe

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
8,975 2,000
Au kama Madison wa Leicester
huyu sina uhakika na pressing prowess yake kwenye channels without the ball, kitu ambacho kwa mtu kama Eriksen (or even a fully fit Ox) kipo in abundance.
 
Don njinji

Don njinji

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2017
Messages
465
Points
1,000
Don njinji

Don njinji

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2017
465 1,000
Wakuu naomba kuuliza hivi hii mechi Leo itaoneshwa kwenye king'amuzi Cha Azam..!!?huku nilipo DStv ni mtihani mkubwa
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
12,225
Points
2,000
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
12,225 2,000
Leo on vizuri tukakipiga kile kigenge cha 2004 mapema kabisa.
 
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Messages
12,225
Points
2,000
King Ngwaba

King Ngwaba

JF-Expert Member
Joined May 15, 2016
12,225 2,000
Wenye CB wazuri wapo mfano Real Madrid, Atletico Madrid, Juventus, Manchester city, Tottenham Hotspur etc
Hapo kwa uliowataja hapana hata timu moja yenye Beki wawili wa kati waliokamilika.

Kila timu hapo utaikutia ina beki mmoja aliyekamilika na mwengine tiamaji-tiamaji.

Kiufupi hapo hapana hata timu moja inayoizidi defence timu ya Liverpool, Labda ukusudie ushindani tu.

Mkuu ishi kwa uhalisi (Be realistic) usiwe wa kuandika andika tu.

Hivi defence ya Spurs, Madrid na Atletico ni ya kuifananisha na Liverpool kweli? Upo serious? Mkuu VVD-MATIP/GOMEZ usifananishe na takataka hizo hata Siku moja.

Narudia tena huwezi kuta timu duniani yenye Centre Back wawili wenye Kiwango cha VVD wote wawili.
Kwahiyo hata Liverpool hatuwezi wapata hao.
 
M

Mnyakatari

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2010
Messages
1,749
Points
2,000
M

Mnyakatari

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2010
1,749 2,000
kwangu naona kama Salah anajaribu kufunga saaaaanaaaa mpaka kwenye impossible angles ni hilo tu na mara nyingi hua hafungi in those tight impossible angles....Mo kwenye assist anamzidi Mane
And to me what matters the most is not only the number of assists a player provides.How many chances of providing the assists you get and how many assists you provide...If a player is in the position to assist 10 times and assists twice it means he assists only 20% of what he could assist...But if a player provides assist once in every three chances to assist he gets, it means he assists 33% of what he could do...In terms of just number of assists the former outnumbers the later but beyond that the former is also selfish compared to the later...my opinion
 

Forum statistics

Threads 1,333,938
Members 511,787
Posts 32,458,431
Top