Hapo kwa uliowataja hapana hata timu moja yenye Beki wawili wa kati waliokamilika.
Kila timu hapo utaikutia ina beki mmoja aliyekamilika na mwengine tiamaji-tiamaji.
Kiufupi hapo hapana hata timu moja inayoizidi defence timu ya Liverpool, Labda ukusudie ushindani tu.
Mkuu ishi kwa uhalisi (Be realistic) usiwe wa kuandika andika tu.
Hivi defence ya Spurs, Madrid na Atletico ni ya kuifananisha na Liverpool kweli? Upo serious? Mkuu VVD-MATIP/GOMEZ usifananishe na takataka hizo hata Siku moja.
Narudia tena huwezi kuta timu duniani yenye Centre Back wawili wenye Kiwango cha VVD wote wawili.
Kwahiyo hata Liverpool hatuwezi wapata hao.