Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,070
Lakini ndo pia anaongoza kwa assist , means sio mchoyo
Guardiola anajua nini anakitafuta
Tayari ameshakamata nafasi Yake
Tukutane 2020
Sisi tuendelee kusajili watoto kwa ajili ya baadae kama kwamba sasa hatuna hajanayo.
Tuendelee kupigana
japo ni ngumu kushindana nao lakini lazima tupambane na mechi zetu na wao wapambane na zao hakuna namna hapa...ni ushindi tuuuu kwetu sio draw wala kufungwo...Mkuu kama uliangalia mechi ya man city jana,hatuna chetu.pia angalia timu man city iliyokutana nao wale sio norwich angalia hata sub zilizokuwa nje za man cty jana- ni ngumu sana kushindana na city
hilo kua mchoyo fulani nadhani Salah ni ngumu kuacha i guess ipo kwenye nerves na si kingine...Chief maana yangu siyo kuongoza kwa assist wala magoli kuna mahala anatakiwa aache mpira ama atoe assist kwa mtu aliye free mwenye percentage nyingi za kufunga kuliko kulazimisha kupenya mahala panako punguza percentage za kufunga
Tunaweza kushinda goli 3 na zote aka funga yeye lakini game kumbe tungeshinda 5 au 6
Kane naona ndio amekuja kwa form ya juu sana
dah hukumtendea haki kwa hii reply unless you are not serious!
This little kid was being beaten up by teenage Manchester City fans just because he had a Liverpool kit on, but Mo Salah was driving past at the time and saw the incident so got out and helped, giving the kid a signed shirt too. A truly inspirational human being .View attachment 1178111
Upo sahihi kabisa ,nilipoikuta walidanganya au waliifanya utani,
Huya ndugu ni liverpool fan lakini haishi kulala tumeshinda 4 goals gemu ya kwanza bado analala sasa anataka niniWe jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapi
Tumeanza msimku vizur Kama kawaida yetu 4-1...ni matokeo ya kutupa nguvu hata Kama ni dhidi ya Norwich...wachezaji wamecheza vizur makosa madogo madogo naamin watayafanyia kazi kadri msimu unavyosogea mbele...
1.mabeki wajipange vizur hasa tunapocheza na hizi timu ambazo Zina kiu ya kuonesha wamebadilika.
2.maforward especially salah apunguze ubinafsi,itatusaidia kupata ushindi mnono maana msimu huu Kuna uwezekano hata tofauti ya magoli ikamleta mshindi.
3.midos Sina Shaka sana ni kujipanga tu maana machaguo Bado ni mengi Kama hatutokuwa na majeruhi..
NB:TUKISEMA SALAH KAANZA VIZUR TUKUMBUKE STERLING NAE KAANZA VIZUR ZAID...HAPO BILA KUWAWEKA AGUERO NA KANE.TUSIVIMBE VICHWA MAPEMA.
trueKwenye game ya juzi sijaona uchoyo wa Mo Salah
Mkuu wavumilie tu huyo na genge lake!We jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapi
Tulifanya uzembe mkubwa kuruhusu Goli dhidi ya NorwichManure bhana! Kajipatia Mdondo anajipigia tu
Mane ndio huwa mchoyo sana Mo wanamuonea tuKwenye game ya juzi sijaona uchoyo wa Mo Salah
Mane ndio huwa mchoyo sana Mo wanamuonea tu