Lakini ndo pia anaongoza kwa assist , means sio mchoyo

Chief maana yangu siyo kuongoza kwa assist wala magoli kuna mahala anatakiwa aache mpira ama atoe assist kwa mtu aliye free mwenye percentage nyingi za kufunga kuliko kulazimisha kupenya mahala panako punguza percentage za kufunga

Tunaweza kushinda goli 3 na zote aka funga yeye lakini game kumbe tungeshinda 5 au 6
 
Mkuu kama uliangalia mechi ya man city jana,hatuna chetu.pia angalia timu man city iliyokutana nao wale sio norwich angalia hata sub zilizokuwa nje za man cty jana- ni ngumu sana kushindana na city
japo ni ngumu kushindana nao lakini lazima tupambane na mechi zetu na wao wapambane na zao hakuna namna hapa...ni ushindi tuuuu kwetu sio draw wala kufungwo...
 
Chief maana yangu siyo kuongoza kwa assist wala magoli kuna mahala anatakiwa aache mpira ama atoe assist kwa mtu aliye free mwenye percentage nyingi za kufunga kuliko kulazimisha kupenya mahala panako punguza percentage za kufunga

Tunaweza kushinda goli 3 na zote aka funga yeye lakini game kumbe tungeshinda 5 au 6
hilo kua mchoyo fulani nadhani Salah ni ngumu kuacha i guess ipo kwenye nerves na si kingine...
na kingine ni kwamba anavyotoa pasi anajiweka kwenye position nzuri sana kurudishiwa na aifunge endapo opposition wata open...
 
dah hukumtendea haki kwa hii reply unless you are not serious!

Nipo serious! Coz mimi nimeandika ninachojisikia bila ya kuvunja sheria za Nchi na JF then yeye anaanza kuniletea mipasho.

Mimi sikusema Man City bingwa
Mimi sikusema Klopp hajui kitu
Wala sikusema timu yetu mbovu
Bali nimesifia ubora wa mpinzani wetu jambo ambalo kila anayejua mpira basi hawezi kupinga kuwa Man City yupo vizuri.
 
This little kid was being beaten up by teenage Manchester City fans just because he had a Liverpool kit on, but Mo Salah was driving past at the time and saw the incident so got out and helped, giving the kid a signed shirt too. A truly inspirational human being .View attachment 1178111

Story iko hivi

IMG_0491.JPG
 
Tumeanza msimku vizur Kama kawaida yetu 4-1...ni matokeo ya kutupa nguvu hata Kama ni dhidi ya Norwich...wachezaji wamecheza vizur makosa madogo madogo naamin watayafanyia kazi kadri msimu unavyosogea mbele...
1.mabeki wajipange vizur hasa tunapocheza na hizi timu ambazo Zina kiu ya kuonesha wamebadilika.
2.maforward especially salah apunguze ubinafsi,itatusaidia kupata ushindi mnono maana msimu huu Kuna uwezekano hata tofauti ya magoli ikamleta mshindi.
3.midos Sina Shaka sana ni kujipanga tu maana machaguo Bado ni mengi Kama hatutokuwa na majeruhi..

NB:TUKISEMA SALAH KAANZA VIZUR TUKUMBUKE STERLING NAE KAANZA VIZUR ZAID...HAPO BILA KUWAWEKA AGUERO NA KANE.TUSIVIMBE VICHWA MAPEMA.
 
We jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapi
Huya ndugu ni liverpool fan lakini haishi kulala tumeshinda 4 goals gemu ya kwanza bado analala sasa anataka nini
 
Kwenye game ya juzi sijaona uchoyo wa Mo Salah
Tumeanza msimku vizur Kama kawaida yetu 4-1...ni matokeo ya kutupa nguvu hata Kama ni dhidi ya Norwich...wachezaji wamecheza vizur makosa madogo madogo naamin watayafanyia kazi kadri msimu unavyosogea mbele...
1.mabeki wajipange vizur hasa tunapocheza na hizi timu ambazo Zina kiu ya kuonesha wamebadilika.
2.maforward especially salah apunguze ubinafsi,itatusaidia kupata ushindi mnono maana msimu huu Kuna uwezekano hata tofauti ya magoli ikamleta mshindi.
3.midos Sina Shaka sana ni kujipanga tu maana machaguo Bado ni mengi Kama hatutokuwa na majeruhi..

NB:TUKISEMA SALAH KAANZA VIZUR TUKUMBUKE STERLING NAE KAANZA VIZUR ZAID...HAPO BILA KUWAWEKA AGUERO NA KANE.TUSIVIMBE VICHWA MAPEMA.
 
I don't like the sound of this at all.

historically, this has never been our (LFC's) mentality with the stature our club is in at present. Wembley used to be called by the Liverpudlians "the second Anfield" due to the regularity at which our team featured in the finals of these domestic cup competitions.

but hii yote ni kutokana na ubahiri wa hawa Yankees kutopanua kikosi kwenye summer.

20190811_172849.jpg
20190811_172823.jpg
 
We jamaa nawe umezidi kulalama asee,mara hivi mara vile kausha basi sisi tumeshinda yetu na city kashinda yake tatizo liko wapi
Mkuu wavumilie tu huyo na genge lake!
Waliiahs andika hapa Liverpool na Barca ukichanganya hamna hata mchezaji mmoja wa Liverpool ata anza lkn tukawanyuka 4-0!
Wao wana amini Kocha bora duniani ni Pep tu!Lkn huu ni mwaka unaenda wa 10 PEP hajacheza hata final ya UCL wkt Klopp huyu huyu wanaye mdharau anacheza UCL finals mara 3 na Yuropa 1 ktk miaka 7

Haiingii hata akilini kumuongelea vibaya kocha ambaye kashinda bao 4 mechi yake ya kwanza!
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom