OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Mumewafunga wavimba macho walipanda daraja hawajafanya usajili wowote ule mna leta kelele apa. Subiri tukuoneshe mpira jumapili."W" ya kwanza EPL 2019/20
Vijana wamecheza vizuri hasa ukitilia maanani ni mechi ya kwanza
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yanakuja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23]ID yako inasadifu unayoyaandika.
Unachekesha.
Kweli wewe Charlie Chaplin[emoji23][emoji23][emoji23]Lingard unayemponda ana namba kwenye first eleven ya three lions na makocha top class wazuri kama MOU na Van gaal walimuamini sasa sijui wewe unamponda kwa vigezo vipi. Waulize Chelsea wanamjua vizuri anawatoboaga.
mimi naona tatizo ni midfield.
tumezoea kuiona midfield yetu ambayo ni compact lakini kwenye game la ManCity first half na ya leo yote pale kati hapakuwa solid.
normally midfield yetu Klopp kaitengeneza ku support zaidi defence ili fullbacks ndiyo wawe wana bomb forward kutengeneza nafasi. ndiyo maana siku ya ManCity na hata leo TAA alionekana ni uchochoro kwani kina Hendo walikuwa nyoronyoro kumlinda.
watu wanai credit defence yetu pekee kuwa ndiyo iliyotufanya tuwe wagumu kufungika msimu uliopita lakini wanasahau role kubwa iliyofanywa ba midfield kwenye achievement hiyo.
Klopp inabidi awapigishe kwata midfielders wote kabla hawajalala leo ili washike adabu games zinazokuja nyambafu!
Hili huwa nalisema wazi kabisa kuwa katika beki zetu nawaamini wawili tu katika kazi hiyo ambao ni VvD na Robertson basiHuu beki yetu leo ikicheza hivi tutakung'utwa magoli mengi sana msimu huu
Fabinho vs. Norwich
79% Pass accuracy
1 Key pass
1/1 Shot on target
1/1 Dribble complete
1/1 Aerial duel won
7/8 Tackles won
2 Interceptions
1 Loss of possession
4-1 want to say more?Ijumaa mjiangalie vzur tu, najua mtaingia na matokeo yenu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Matokeo umeyapata vizuri. Imani Ni kitu kizuri Sana!Game hii ya ufunguzi vs Norwich nikiiangalia kwa jicho la tatu sidhani kama kutakuwa na matokeo mazuri sana kwetu.
Hongereni kwa ushindi mnono dhidi ya vibonde wa Norwich City na pia kwa kuongoza ligi from day one
Kwa maoni yangu beki sio wa kumlaumu kwa goli lile la Pukki
Huyu Pukki ni bahati mbaya tu yuko kwenye timu kama ya Norwich, ni mchezaji anayejua kuposition na mwenye shabaha kufunga.
Huyo Pukki angekuwa Liverpool msimu angefunga sio chini ya 30 goals
Hata hivyo kwa ujumla mwaka huu hautakuwa kama mwaka jana, Competition ya top 6 itakuwa kubwa zaidi na gap itakuwa ndogo hata kama livger au city watachukua ubingwa lakini sio kwa vita vya mafahali wawili bali mafahali sita watapambana
i mean... Hendo was so woeful but he was still rated the best midfielder of the 3 on the night - can you imagine? this just goes on to tell you how bad our midfield was.mimi naona tatizo ni midfield.
tumezoea kuiona midfield yetu ambayo ni compact lakini kwenye game la ManCity first half na ya leo yote pale kati hapakuwa solid.
normally midfield yetu Klopp kaitengeneza ku support zaidi defence ili fullbacks ndiyo wawe wana bomb forward kutengeneza nafasi. ndiyo maana siku ya ManCity na hata leo TAA alionekana ni uchochoro kwani kina Hendo walikuwa nyoronyoro kumlinda.
watu wanai credit defence yetu pekee kuwa ndiyo iliyotufanya tuwe wagumu kufungika msimu uliopita lakini wanasahau role kubwa iliyofanywa ba midfield kwenye achievement hiyo.
Klopp inabidi awapigishe kwata midfielders wote kabla hawajalala leo ili washike adabu games zinazokuja nyambafu!
Gomez is doing great japo hajarudi kwenye kile kiwango chake...Kwenye kikosi niliye na wasiwasi naye ni Gomez tu kwani sijajua kama yipo fiti kutokana na injury aliyokuwanayo last season.
weakness yake ni akipewa back pass hapo tu roho yangu hua inastukaBeki yetu mbovu lakini Alison jamani ni kipa
ongezea hapo Arseanal, TOT, Liverpool wamekamilika pale mbeleHivi unajua Everton, Leicester , Watford ,wolves wana forward Kali kuliko man u & Chelsea ?
unajuaOTE="AROON, post: 32438772, member: 236445"]
Hivi unajua Everton, Leicester , Watford ,wolves wana forward Kali kuliko man u & Chelsea ?
subiri angalau hio backline yako icheze mechi kumi ndio hayo maneno utuletee humu...unajua
Unajua kwamba timu zote EPL manutd ndo kwenye back line Kali kuliko zote. Na kiungo wa dunia Pogboom.
Last season Salah alianza Ligi kama Mrisho Ngassa but this season he is on fire mwanzo wa Msimu.
This man gonna be top scorer again even the Salah's hater don't like him... Si Owen,Si Torres, Si Suarez aliyeweza kukifanya anachokifanya Salah.
Ni Liverpiool's Savior mpya since Aian Rash alipo retire kucheza footballe.