Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 678
- 1,022
Yap, zile kama sio bahati Origi basi ni best finisher zaidi ya mmatumbi yeyote pale liver(real?). Mkuu kwa soka lilivyo miaka hii unahitaji wachezaji bora kabisa ili uchukue epl, la sivyo ombea wengine wawe hovyo(ndo kutegemea bahati) kama ilivyowakuta leicester. Mfano mzuri mane akaumia miezi mitatu benchi, replaced by origi utakua na amani?Kwa hiyi Origi amebahatisha mechi karibu saba tena kwa dakika chache anazo pewa?
