Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Itapendeza zaidi ikiwa tutaanza kuongoza Ligi kuanzia leo mpaka mwisho wa Msimu.

Kwenye mechi ya Ngao niliona Weakness flani hivi kwenye kikosi cha City.

Weakness hiyo imesababishwa na kukatika kwa Nguvu 3 kubwa za Man City ambazo ndizo zilizokuwa Engine na Source ya Mafanikio kwa Misimu miwili iliyipita.

1) Fernandinho (Age)
2) KDB (Injury)
3) David Silva (Age)

Midfielders hao Watatu walikuwa wakikutana uwanjani basi huwezi kusalimika.

Lakini msimu huu hizo nguvu tatu zimeisha uwezo wake kiasi ya kwamba ukiwa na Mido zilizotulia tu na washambuliaji wenye kujielewa basi Man City kumkalisha ni rahisi tu.

Mfano mdogo kwenye Mechi ya Ngao kumzidi Man City kwa Possession halikuwa jambo la kubahatisha Bali ni athari ya KDB, Fernandinho na Silva.
KDB ni majeruhi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom