Klop line up angeweka hata madogo wawili hii gemu angewatest mitambo second half dakika za 70' huko
Unaendeleaje hapo ulipo? Tukuongezee KvantLiverpool 1-2norwich
FT
Alisikika mlev mmoja akisema
![]()
Hendo bado kidogo Likufe 😀😀

Naangalia mpira kwa kuienjoy sana, nina usingizi mzito sana lakn raha tu hapa hata hausumbui
Breaking news!!!
Alisson atakuwa nje ya uwanja miezi 6!!!! Ukicheka ya sane yatakukuta ya alisson
Breaking news!!!
Alisson atakuwa nje ya uwanja miezi 6!!!! Ukicheka ya sane yatakukuta ya alisson
Tuombe isiwe serious injury aise.Huyu Becker ni muhimu sana kwenye game yetu vs Chelshit



Njoo 4040 hapa tuangalie mpira huku tukiburudika na bogos musicaTANESCO washafanya yao! Fvck