Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaani kama wao ambavyo wangemlaumu Sterling..MM NAMLAUMU SALAH MOJA KWA MOJA..GEMU ILIKUWA TUNAIMALIZA NDANI YA DK 90..SIJUI LINI HUYU MWARABU ATAACHA UBINAFSI NA KUACHA UJINGA AMBAO KARIBIA MABEKI WOTE WAMESHAMJULIA...SHENZY KABISA.
#IMISSUSADIOMANE#

Niljuwa tu leo Salah hana salama kwako 😀😀
 
Ukweli usiofichika Salah Leo alikuwa ndiye our best player inside the pitch...
Ndiye mchezaji pekee aliyefanya mashambulizi kwenye lango la Man City Ila hakubahatika kufunga tu.
....isipokuwa alisahau nyumbani shooting boots zake.

kuna haja kocha wake wa physique aanze kumpa mazoezi ya kukaza misuli.
shuti zake leo utadhani mpira wa chandimu bana!
 
Naona analaumiwa Salah badala ya Sterling ambaye alipaswa kumaliza gemu mapema mno ,Salah alikuwa safi ila sterling kawakera hata Liverpool anakosaje nafasi za wazi vile
 
Kiukweli mumejitahidi sana leo hasa katka kipindi cha pili mimi nafikiri WALKER ndiye aliyeamua mechi ya leo,Salah hakuwa na bahati kabisa ila amefanya kazi nzuri sanaaaaaaaaa
kabisa Salah was the best attacking player upande wetu, kagonga mwamba mara mbili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom