Yaani Ligi ikiisha leo, Arsenal wanakuwa mabingwa EPL... Hawa jamaa wanaujua mpira bhana...Hahahahahaa mzee hii ndo inawapaga kiburi..
| # | Team | Pl | W | D | L | F | A | GD | Pts |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Arsenal | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 2 | Aston Villa | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 3 | Bournemouth | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 4 | Brighton and Hove Albion | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 5 | Burnley | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 6 | Chelsea | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 7 | Crystal Palace | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 8 | Everton | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 9 | Leicester City | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 10 | Liverpool | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 11 | Manchester City | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 12 | Manchester United | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 13 | Newcastle United | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 14 | Norwich City | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 15 | Sheffield United | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 16 | Southampton | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 17 | Tottenham Hotspur | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 18 | Watford | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 19 | West Ham United | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 20 | Wolverhampton Wanderers |
Ndo usajili wenu msimu huu??Harvey Elliott ni new Bernardo Silva iwapo hatakumbwa na mkosi wa injury
Ndo usajili wenu msimu huu??
mkuu naona baada ya kuona JK hana mpango wa kusajili umeona umsupport!Msimu huu tutafanya Vizuri kuliko Msimu uliopita kwani Hatujafanya Usajili, Lakini pia Hatujapunguza Mchezaji..
Bali naweza sema tumeongeza Origi na Brewster kwani last Season Origi alishasahauliwa na Kuoneshwa Njia ya Kutokea, Pia Brewster alikuwa ni injury.
upo sahihi kabisa ila tatizo ni kwamba epl ni ligi iliyo na matumizi makubwa ya nguvu (physic) hivyo kama huna kikosi cha wachezaji wenye uwezo huo basi possibility ya kuwa na injuries ni kubwa mnoHivi wakati Klopp anamuita TAA kikosi cha wakubwa ni nani aliyetegemea TAA angefanya maajabu kama tunayoyashuhudia sasa? Klopp alipomnunua Robertson tulijua anatuletea mzigo tu lakini shughuli ya Robertson tunaiona sote ni mashahidi.. Hivi karibu kamnunua Van Den Berg nani anaujua uwezo wa huyu dogo?
Wakati Klopp akiwa Dortmund alitumia kiasi cha paund 22.37 million kununua wachezaji watano wa kiwango cha juu kabisa.
1. Shinji Kagawa bure
2. Piszeck bure
3. Lewandowsk paund 3.33 m
4. Aubameyang paund 9.1 m
5. Subotic 3.15 paund m
Kwa hiyo suala la kusema Klopp hasajili tuliache yeye anajua kuliko hata sisi tunaompigia kelele.
_Jumapili njema Kops [emoji112]_
mkuu tupia basi hizo video tuzifaidi woteNimemuona huyu mtoto anajua balaa , Nina video yake mech ya juzi , huwez kuamin kama ana 16yrs , .
Na tangu ametua Anfield,Kloop na Michael wamefanya makubwa tumecheza final mbili za UEFA,Europa Cup final mara moja bado mnaponda kazi ya Kloop? Bhasi tafuteni kocha wenuHaya maneno ya mwacheni Klopp afanye anayoyataka yamekuja baada ya miuja ya Barcelona na Trophies ya UCL ni Klopp huyu huyu aliwaaminisha kwa Karius na Grujic baadae mkamgeuka na tunasema mapema tutakuja kuongea negative kabla ya January tuombe uzima.
Hii hapa ichekmkuu tupia basi hizo video tuzifaidi wote
Hao kina Nakamura wenyewe waliwapiga.Nyinyi baada ya kuwafunga kina Nakamura kwenye Preseason ndiyo munajiona muna timu? Sasa subiri ligi ianze muone kitakachowafika.
Wewe tulia kama ulivyo, Liverpool ina point zetu sita kama sio nne.Hao kina Nakamura wenyewe waliwapiga.
mkuu naona baada ya kuona JK hana mpango wa kusajili umeona umsupport!
Wewe tulia kama ulivyo, Liverpool ina point zetu sita kama sio nne.
Bora umelitambua hiloUtabiri wangu msimamo wa msimu huu 2019/20
1) Man City
2) Liverpool
3) Man United
4) Arsenal
5) Spurs
6) Chelsea
Ole ataanza kuondokaNyie Chelsea ifikapo October kama hamjaanza LampOut basi naomba MaAdmis wa JF wanipige Ban la maisha.
Utabiri wangu kwa Line-up ya leo
ORIGI - BOBBY - SALAH
GINI - FABI - HENDO
ROBBO - VVD - MATIP - TAA
BECKER
Subs:
MIGNO
GOMEZ
MILLIE
OX
KEITA
BREWSTER
LOROUCI
Chora graph utapata jibu