A Kopite
Member
- Mar 3, 2018
- 72
- 94
Tangu mwaka 98 naishabikia Liver, acha kukisia watu mdogo wangu.Huyo jamaa nina uhakika kaanza kushabikia mpira juzi sio kwa analysis hizo anazotoa aise na hawa ndio huwa wanatusumbua hapa
Tangu mwaka 98 naishabikia Liver, acha kukisia watu mdogo wangu.Huyo jamaa nina uhakika kaanza kushabikia mpira juzi sio kwa analysis hizo anazotoa aise na hawa ndio huwa wanatusumbua hapa
Sio mechi za Liverpool tu niziangaliazo,huwa nafuatilia mechi karibu zote zionyeshwazo muda tofauti,na si miaka ya hivi karibuni tangu mwaka 1998 nilianza kufuatilia ligi ya Epl.Sina uhakika kama unaangalia mechi za Liverpool!
Lakini labda nikuulize maswali haya!
Mbadala wa Aguero ni Jesus
Mbadala wa Sterling ni Sane
Mbadala wa Bernardo Silva ni Mahrez
Hao mbadala niliowataja hapo wote ni Wachezaji ambao ni wakucheza kikosi cha kwanza na usione pengo la aliyekosekana kwani wana uwezo na Vipaji vikubwa.
Lakini ukija Liverpool:
Mbadala wa Firmino ni Origi
Mbadala wa Salah? Utaniambia ni Xhaqiri? Kuna uhusiano gani wa Salah na Xhaqiri?
Mbadala wa Mane? Utaniambia ni Lallana? H. Wilson? Hivi hao ni wachezaji wa kutafutia EPL?
Mbadala wa VVD? utaniambia ni Lovren? Mbadala Wa Matip? Gomez? Hawa wote wakicheza mechi 4 basi ya 5 wako Wodini wanauguza majeraha.
Mbadala wa Robertson ? Au hujui kuwa Moreno kauzwa?
Mbadala wa TAA? Nadhani umeshasahau kuwa last season ilibidi Henderson aje acheze Beki mbili kama mbadala wa TAA. Usiniambie Clyne kuwa ndiyo Backup ya TAA.
Kuhusu Fabinho akiumia Yeye ndiyo Kabisa hana hata wakuziba nusu ya Pengo lake kwani itambidi arudi Henderson kuja kuziba nafasi Yake jambo ambalo nafasi Yake kama Kiungo mshambuliaji itabidi akacheze Milner mwenye miaka 34 ... Unatafuta EPL kwa kiungo mshambuliaji Milner?
OX ni baba wa injury, hata mazoezi yeye anaumia tu.
Ndugu unapoangalia kikosi usiangalie kisa unarundo la wachezaji! Bali angalia nafasi ya mchezaji mmoja mmoja je yupo mbadala wake ambaye ataOffer kitu kitakacholeta matokeo kwani Wachezaji wanachoka na kuumia hivyo mbadala wa Wachezaji hao wanahitajika.
Kama unaangalia hizi mechi za Preseason basi utaona athari ya kuchezesha Watoto jambo ambalo usidhani kuwa Klopp atakuja kuwajaza kwenye kikosi cha kwanza kama unavyozania.
Hao wote watarudishwa U23 na U18 watakapomaliza ziara yao na wataitwa kwa FA na Carabao tu.
Tutaendelea kubakia na kikosi kilekile butu cha last season.
Kama Arsenal na Man U wakipiga mpira mkubwa top four ishu ngumuIla msimu huu anaweza kuwa chini ya top 4 akiendeleza unazi wa kijeruman
Nyie ci mna kikosi kikali ..msajili ya nini tena?Hatujasajili mpk sasa aise maisha yapo kasi sana
Ilikuwa ni Anfield hii?Loserfool msimu huu lazima mshuke darajaView attachment 1159341
Hahahahaha
Forward yenu Giroud na Willian na flop Pedro
![]()


nyie forward zenu zimefanya nin kwenye mataifa yao. Mane Salah wote hamna kitu..Mkipigwaga unapoteaga siku tatu au zaidiTunaongoza moja uko..
Tunaongoza moja uko..
Kwani ulipokuja kusema Chelsea imefungwa na Kawasaki ni kombe gani lilikuwa linapiganiwa?Mulikuwa munagombania Kombe gani Mkuu?
Kwani mulivofungwa na Dortmund na Sevilla mulikuwa munagombania kombe gani?Mulikuwa munagombania Kombe gani Mkuu?
Uyo amekosa point ya kuongea anatafuta pakutokea..Kwani ulipokuja kusema Chelsea imefungwa na Kawasaki ni kombe gani lilikuwa linapiganiwa?
Isitoshe nyie inabidi mpate mechi na Simba Fc ili tujue nani mbabe maana ya Sevilla na Simba tushaiona
Chini ya Lampard tuna uwakika wa kuzuia point sio chini ya kumi na mbili kwenye top six uku tukianza na Liverpool.Mkipigwaga unapoteaga siku tatu au zaidi
Chini ya Lampard tuna uwakika wa kuzuia point sio chini ya kumi na mbili kwenye top six uku tukianza na Liverpool.
Sasa unabisha mkuu.! Liverpool ya msimu huu mpya itakuwa ya kawaida sana.Sigara zingine bhana
Sasa unabisha mkuu.! Liverpool ya msimu huu mpya itakuwa ya kawaida sana.