Hatujasajili mpk sasa aise maisha yapo kasi sana
Wakuu mmepoteza game ya kirafiki.
Kwan wote si wanacheza mpira wa miguu? Au sisi tulipoteza kwa wacheza judo nyie mmepoteza kwa wanariadha wa mbio fupi?Sisi tumepoteza kwa Dortmund na si kwa Kawasaki ya kina Shimoda
Watu wajinga sana wanasahau kuwa EPL Inahitaji nguvu nyingi sasa jatuwez kuwa na nguvu nying kwa kuwa na mane,salah,bobby pekee yaan i mean kwa 3-front isiyo kuwa na mbadalaKuna watu wanatwambia tisiwe na haraka dirisha bado halijafungwa
Watu wajinga sana wanasahau kuwa EPL Inahitaji nguvu nyingi sasa jatuwez kuwa na nguvu nying kwa kuwa na mane,salah,bobby pekee yaan i mean kwa 3-front isiyo kuwa na mbadala
Kama hatutosajili wachezaji wa kucheza senior team na badala Yake tukaendelea kusajili Madogo wa U17 basi kama kawaida yetu tusubiri tutolewe kwenye Carabao na FA mapema sana ili tubakie kwenye EPL na CL pekee kwa kisingizio cha kuwa FA na Carabao ni Makombe ya Kipuuzi.
Na tutarajie ifikapo Jan - Feb timu kuboronga kama last season kwa Mane, Bobby na Salah kuchoka kwa kucheza kila mchezo kitokana na kitokuwa na Mbadala wa Kuwasaidia.
Acha hofu mkuu,timu bado ipo imara katika nafasi nyingi, kwa mfano kwa golini tuna golikipa bora na mwenye rekodi nzuri kwa sasa. Upande wa beki wa kati wapo zaidi ya wanne na wenye uwezo mzuri. Beki za pembeni pia wapo vizuri na backup wao, njoo upande wa viungo napo pia wapo zaidi ya wanne,Ox karudi,Curtis Jones akiaminiwa ni mzuri pia,Milner,Hendo na Wijnaldum bado wapo vizuri,na pia Shaqiri. Nafasi za mawinga nazo wamejitosheleza,Mane,Salah,Kent na Shaqiri wapo vizuri. Tatizo lililopo ni kwenye forwards haswa haswa namba tisa, ambapo Firmino sio namba tisa halisi, alifojiwa kucheza namba 9 baada ya Benteke ku shindwa kuifanyia haki nafasi hiyo, Brewster hana uzoefu na umri ni mdogo kwa hiyo anahitaji muda na Origi sio wa kumtegemea sana kwa kuwa kuna mechi hufanya vizuri na baadhi hupotea mchezoni. Hivyo nafasi pekee ninayoiona inahitaji kuongezwa mchezaji ni nafasi ya mshambuliaji namba 9 tu.Msimu huu walitoa taarifa kuna mapumziko ya 2 weeks kabla ya round 2 watapimzika vema japo tugombanie top 4
Kusajili m/wachezaji mpaka sasa matumaini yanafifia tusubiri tu kudra
Acha hofu mkuu,timu bado ipo imara katika nafasi nyingi, kwa mfano kwa golini tuna golikipa bora na mwenye rekodi nzuri kwa sasa. Upande wa beki wa kati wapo zaidi ya wanne na wenye uwezo mzuri. Beki za pembeni pia wapo vizuri na backup wao, njoo upande wa viungo napo pia wapo zaidi ya wanne,Ox karudi,Curtis Jones akiaminiwa ni mzuri pia,Milner,Hendo na Wijnaldum bado wapo vizuri,na pia Shaqiri. Nafasi za mawinga nazo wamejitosheleza,Mane,Salah,Kent na Shaqiri wapo vizuri. Tatizo lililopo ni kwenye forwards haswa haswa namba tisa, ambapo Firmino sio namba tisa halisi, alifojiwa kucheza namba 9 baada ya Benteke ku shindwa kuifanyia haki nafasi hiyo, Brewster hana uzoefu na umri ni mdogo kwa hiyo anahitaji muda na Origi sio wa kumtegemea sana kwa kuwa kuna mechi hufanya vizuri na baadhi hupotea mchezoni. Hivyo nafasi pekee ninayoiona inahitaji kuongezwa mchezaji ni nafasi ya mshambuliaji namba 9 tu.
Bado sijaelewa kwanini most Kops wanajiamini nini hasa na hiki kikosi.. ni ile comeback vs Barcelona ndiyo inatupa kiburi ama?!Ingelikuwa mpira unachezwa hivyo basi Juventus, Man City, PSG na Barcelona wasingesajili hata mchezaji mmoja msimu huu.
Hivi tuna viungo wazuri kushinda Man City? Mbona kenda kumnunua Rodri?
Klopp anajifanya ni jeuri sana ,Liverpool hatuna squad yenye ubora ya kusema kwamba hata tusipofanya usajili sawa tu.Bado sijaelewa kwanini most Kops wanajiamini nini hasa na hiki kikosi.. ni ile comeback vs Barcelona ndiyo inatupa kiburi ama?!
HahhaaaaaaaaaSisi tumepoteza kwa Dortmund na si kwa Kawasaki ya kina Shimoda