21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Loserfool msimu huu lazima mshuke daraja
HahahahahaLoserfool msimu huu lazima mshuke darajaView attachment 1159341

Acha hofu mkuu,timu bado ipo imara katika nafasi nyingi, kwa mfano kwa golini tuna golikipa bora na mwenye rekodi nzuri kwa sasa. Upande wa beki wa kati wapo zaidi ya wanne na wenye uwezo mzuri. Beki za pembeni pia wapo vizuri na backup wao, njoo upande wa viungo napo pia wapo zaidi ya wanne,Ox karudi,Curtis Jones akiaminiwa ni mzuri pia,Milner,Hendo na Wijnaldum bado wapo vizuri,na pia Shaqiri. Nafasi za mawinga nazo wamejitosheleza,Mane,Salah,Kent na Shaqiri wapo vizuri. Tatizo lililopo ni kwenye forwards haswa haswa namba tisa, ambapo Firmino sio namba tisa halisi, alifojiwa kucheza namba 9 baada ya Benteke ku shindwa kuifanyia haki nafasi hiyo, Brewster hana uzoefu na umri ni mdogo kwa hiyo anahitaji muda na Origi sio wa kumtegemea sana kwa kuwa kuna mechi hufanya vizuri na baadhi hupotea mchezoni. Hivyo nafasi pekee ninayoiona inahitaji kuongezwa mchezaji ni nafasi ya mshambuliaji namba 9 tu.
Huu uchambuzi wako mkuu unaangalia na timu nyingine za ligi kweli?
Mmefungwa na team iliyo omba suluhu kwa simba..... Basi simba inaweza kuifunga liva...Acha hofu mkuu,timu bado ipo imara katika nafasi nyingi, kwa mfano kwa golini tuna golikipa bora na mwenye rekodi nzuri kwa sasa. Upande wa beki wa kati wapo zaidi ya wanne na wenye uwezo mzuri. Beki za pembeni pia wapo vizuri na backup wao, njoo upande wa viungo napo pia wapo zaidi ya wanne,Ox karudi,Curtis Jones akiaminiwa ni mzuri pia,Milner,Hendo na Wijnaldum bado wapo vizuri,na pia Shaqiri. Nafasi za mawinga nazo wamejitosheleza,Mane,Salah,Kent na Shaqiri wapo vizuri. Tatizo lililopo ni kwenye forwards haswa haswa namba tisa, ambapo Firmino sio namba tisa halisi, alifojiwa kucheza namba 9 baada ya Benteke ku shindwa kuifanyia haki nafasi hiyo, Brewster hana uzoefu na umri ni mdogo kwa hiyo anahitaji muda na Origi sio wa kumtegemea sana kwa kuwa kuna mechi hufanya vizuri na baadhi hupotea mchezoni. Hivyo nafasi pekee ninayoiona inahitaji kuongezwa mchezaji ni nafasi ya mshambuliaji namba 9 tu.



Naangalia sana. Jambo lililowazi ni kwamba hakuna timu iliyofanya usajili mkubwa sana mpaka sasa. Kinachozingatiwa si kuongeza wachezaji tu bali kuziba nafasi zenye mapungufu. Liverpool ndani ya msimu mmoja na nusu imefanikiwa kuziba nafasi tatu ambazo zilikuwa na matatizo, golini, kiungo mkabaji na beki ya kati. Nafasi pekee ambayo naona Klopp ataitendea haki ni usajili wa mshambuliaji na 9. Kwa hiyo ni bora kupandisha wachezaji waliopo na si kununua wachezaji ambao watakuwa wa ziada tu.
kwa hiyo na sisi tuna viungo wazuri hatuhitaji tena viungo wengine,hivi akitoka mane,salah kuna mchezaji gani wa kubadilisha matokeo?Naangalia sana. Jambo lililowazi ni kwamba hakuna timu iliyofanya usajili mkubwa sana mpaka sasa. Kinachozingatiwa si kuongeza wachezaji tu bali kuziba nafasi zenye mapungufu. Liverpool ndani ya msimu mmoja na nusu imefanikiwa kuziba nafasi tatu ambazo zilikuwa na matatizo, golini, kiungo mkabaji na beki ya kati. Nafasi pekee ambayo naona Klopp ataitendea haki ni usajili wa mshambuliaji na 9. Kwa hiyo ni bora kupandisha wachezaji waliopo na si kununua wachezaji ambao watakuwa wa ziada tu.
Loserfool msimu huu lazima mshuke darajaView attachment 1159341
Kaangalie toka Mzee Ferguson ameondoka mmefanikiwa kumaliza Top four mara ngapi halafu kafuatilie msimu gani Klopp ameshindwa kumaliza Top four EPLNawaona Ndugu zake Leicester city kuanzia August mtarud kwenye nafasi zenu..ata Top 6 mta isikia tu![]()
Kaangalie toka Mzee Ferguson ameondoka mmefanikiwa kumaliza Top four mara ngapi halafu kafuatilie msimu gani Klopp ameshindwa kumaliza Top four EPL
Huyo jamaa nina uhakika kaanza kushabikia mpira juzi sio kwa analysis hizo anazotoa aise na hawa ndio huwa wanatusumbua hapakwa hiyo na sisi tuna viungo wazuri hatuhitaji tena viungo wengine,hivi akitoka mane,salah kuna mchezaji gani wa kubadilisha matokeo?
Naangalia sana. Jambo lililowazi ni kwamba hakuna timu iliyofanya usajili mkubwa sana mpaka sasa. Kinachozingatiwa si kuongeza wachezaji tu bali kuziba nafasi zenye mapungufu. Liverpool ndani ya msimu mmoja na nusu imefanikiwa kuziba nafasi tatu ambazo zilikuwa na matatizo, golini, kiungo mkabaji na beki ya kati. Nafasi pekee ambayo naona Klopp ataitendea haki ni usajili wa mshambuliaji na 9. Kwa hiyo ni bora kupandisha wachezaji waliopo na si kununua wachezaji ambao watakuwa wa ziada tu.
Mtu ambaye nimemkubali ana uwezo wa kuchezesha chipukizi alafu wakadeliver kwa epl ni Poch. Klop anafanya kazi nzuri ila Poch ni genius. So msiwategemee sana watoto hawa na pia msisahau kila timu itawapania na hilo huwa linapelekea droo kuwa nyingi.Sina uhakika kama unaangalia mechi za Liverpool!
Lakini labda nikuulize maswali haya!
Mbadala wa Aguero ni Jesus
Mbadala wa Sterling ni Sane
Mbadala wa Bernardo Silva ni Mahrez
Hao mbadala niliowataja hapo wote ni Wachezaji ambao ni wakucheza kikosi cha kwanza na usione pengo la aliyekosekana kwani wana uwezo na Vipaji vikubwa.
Lakini ukija Liverpool:
Mbadala wa Firmino ni Origi
Mbadala wa Salah? Utaniambia ni Xhaqiri? Kuna uhusiano gani wa Salah na Xhaqiri?
Mbadala wa Mane? Utaniambia ni Lallana? H. Wilson? Hivi hao ni wachezaji wa kutafutia EPL?
Mbadala wa VVD? utaniambia ni Lovren? Mbadala Wa Matip? Gomez? Hawa wote wakicheza mechi 4 basi ya 5 wako Wodini wanauguza majeraha.
Mbadala wa Robertson ? Au hujui kuwa Moreno kauzwa?
Mbadala wa TAA? Nadhani umeshasahau kuwa last season ilibidi Henderson aje acheze Beki mbili kama mbadala wa TAA. Usiniambie Clyne kuwa ndiyo Backup ya TAA.
Kuhusu Fabinho akiumia Yeye ndiyo Kabisa hana hata wakuziba nusu ya Pengo lake kwani itambidi arudi Henderson kuja kuziba nafasi Yake jambo ambalo nafasi Yake kama Kiungo mshambuliaji itabidi akacheze Milner mwenye miaka 34 ... Unatafuta EPL kwa kiungo mshambuliaji Milner?
OX ni baba wa injury, hata mazoezi yeye anaumia tu.
Ndugu unapoangalia kikosi usiangalie kisa unarundo la wachezaji! Bali angalia nafasi ya mchezaji mmoja mmoja je yupo mbadala wake ambaye ataOffer kitu kitakacholeta matokeo kwani Wachezaji wanachoka na kuumia hivyo mbadala wa Wachezaji hao wanahitajika.
Kama unaangalia hizi mechi za Preseason basi utaona athari ya kuchezesha Watoto jambo ambalo usidhani kuwa Klopp atakuja kuwajaza kwenye kikosi cha kwanza kama unavyozania.
Hao wote watarudishwa U23 na U18 watakapomaliza ziara yao na wataitwa kwa FA na Carabao tu.
Tutaendelea kubakia na kikosi kilekile butu cha last season.
Liverpool ilishindwa kabisa kumpatia huyu mnyama furahaView attachment 1134967
Sure,hope hamtasajili.Yaani tukishinda mechi pre season....watu mnalalamika na mnadharau kuwa ooh ni preseason match kwa hiyo isitupe kiburi. Tukifungwa mnalia eti mbona Kloop hasajili.
Niliwaambia hakuna usajili mpya mkubwa msimu huu. Kloop hajaona hayo mapengo mnayosema.
Hivi aguero akiwa fiti mechi ngapi amekaa nje msimu huu?? Sidhani kama zinazidi 5...jesus kakubali kumsubiri KUN achoke.
Unadhani huyo salah atahitaji kufanyiwa rotation kama hajaumia. Na ndio maana kloop anawaza kiwabakisha madogo akina wilson na kent maana anajua now utamleta nani akae asubiri mtu achoke au aumie ndo acheze?? Huyo mignolet mwenyewe shingo upande tu yupo.
Na hata hiyo beki ya kushoto kama kuna dogo yoyote anatmuimpress kwa pre season basi ujue hanunui beki wa kushoto.
Timu bado NZURI na naiaminim mnajipa wasiwasi wa bure tu. Timu za kununua ni hao arsenal na manure ndo wana shida kibao.
Sasa sevilla kutufunga ndo watachukua la liga??
Liver iko poa Kloop yuko poa na vijana wako poa....na natumaini mwaka huu tunanyanyua kwapa tena. Sijui kombe gani lakini tunanyanyua tena hata CL TUTAWEZA BEBA TENA.
Nashangaa watu mnalilia usajili kisa city kamsaini rodrigo...yule anamshikia namba fernandiho ambaye msimu ujao anaweza ondoka so wanatafuta mbadala mapema.
Embu jiaminini iamini team yenu. Maana hata alipomnunua van dyk ikaweka £75 na £80 kwa alison hawa hawa wanaolilia usajili walianza kumponda kloop why katoa mpunga mrefu hvyo