Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wachezaji hawa ndiyo tuliyoambiwa Kikosi kipana (Depth) na New signing.
Clyne tayari......
Gomez loading......
Lallana loading.......
Matip loading........
OX loading.........
Nakumbusha tu kuwa Beki mbili tunaye TAA pekee
Beki tatu tunaye Robertson pekee
Tutarajie tena beki mbili kuja kucheza Hendo.
Beki tatu kuja kucheza Milner
Beki ya kati kuja kucheza Fabinho.
Wacha tusisajili tuendelee kujiamini na Miguu ya plastic ya kina OX
