Kwa sasa kina Wolvehamton ya Nuno Esperinto Santo na Leicester ya Brendan Rodger zipo vizuri. Hii season kutakuwa na mpambano mkali sana.Arsenal beki mbovu sana probably worst in top 6, naweka akiba ya maneno sababu sijui mpaka dirisha linaisha usajili wao utakuwa uko vipi
At the moment siweki shilingi yangu kuwa Arsenal atamaliza msimu huu ndani ya top four
Chelsea top four naweka shilingi kuwa Chelsea top four wapo, Spurs 50/50, Man Utd 50/50
Top four yangu ni Man City(100%), LFC (100%), Chelsea (100%)
Spurs(not sure), Man Utd (not sure), Arsenal (not sure)
Kwa sasa kina Wolvehamton ya Nuno Esperinto Santo na Leicester ya Brendan Rodger zipo vizuri. Hii season kutakuwa na mpambano mkali sana.
Only City n Reds ndio wana uhakika wa Top four mbali na kuwa contenders wa ubingwa. Spurs kidogo ni wazuri na bora kuliko hao wengine. Si chelsea ya Lampard wala United ya Solksejer ambao ni makocha wageni na wanaokosa uzoefu kwenye ligi ngumu na ndefu kama epl.
Natabiri Leicester na wolve kuleta changamoto ntingine kwenye top 4.
Dogo anajua sanaNaona DOGO RYAN BREWSTER KATUPIA HAPA
Jamaa pale mbele huwa ana alternate vzr sana na mane , sio mbahatishaji .Tumempa Mkataba Origi lakini naomba tuwe wastahamilivu kwani kwani alichokifanya CL siokwamba lazima akifanye tena.
Mkuu nakukumbusha tu hao tunaocheza nao ni Tranmere Rovers na hiyo mechi ni Friend game .Sasa nimeanza kuelewa sababu ya Klopp kutoharakia usajili, vijana wamacheza mpira mzuri sana.Kuna Ki Jana Hoever, Louruci,Brewster, Nathaniel Philips wameonyesha viwango bora sana.
it's only a friendly vs a minnow.... yes, but an excellent springboard for the new season.