Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu nakukumbusha tu hao tunaocheza nao ni Tranmere Rovers na hiyo mechi ni Friend game .
Hahaha,nimekuelewa mkuu,ila usitarajie Klopp kufanya usajili mkubwa,ameshaweka wazi kumpandisha Brewster.Na pia tarajia kuwaona kama ingizo jipya katika kikosi cha kwanza; Ki Jana, Adam Lewis, Curtis Jones na Nat Philips.
 
Sasa nimeanza kuelewa sababu ya Klopp kutoharakia usajili, vijana wamacheza mpira mzuri sana.Kuna Ki Jana Hoever, Louruci,Brewster, Nathaniel Philips wameonyesha viwango bora sana.
Mkuu this kids wako vizur nime enjoy game sana especially yale mawasiliano kati ya brewster na hary wilson.. zile first touch za origi but hii game vs tranmere rovers isitupoteze lengo kwamba we have to get new players.

Hawa young players wanahitaji time zaidi.. We still have to get new players hasa kwenye front three yetu na a Left defender kama backup ya Robertson.. Milner hawataweza msimu mzima course he is not good on crosses
 
Tuombee tu kusiwe na majeruhi!
Mambo mazuri msimu
Wana Liverpool mshikamano ndiyo mafanikio yetu
"Kama ni Mwekundu utakuwa Mwekundu maisha yako yote"
 
Ngoja tutumie hawa waliopo sasa bado wana nguvu, usajili mwingine tutasijili January ikiwa watakata upepo hawa machaliii
 
Ngoja tutumie hawa waliopo sasa bado wana nguvu, usajili mwingine tutasijili January ikiwa watakata upepo hawa machaliii
Brewer
OX
Beki Phillips hao ni kama usajili mpya
Keita hakuwa ktk fully potential
 
When asked about any possible new signings, the Liverpool boss said: “We have brought them already and you don't realise it.

“Rhian Brewster, Oxlade-Chamberlain didn't play last year, all the young boys didn't play for us last year, they are all new players for us".
 
Timu iliyokuwepo, ukichanganya na wababe wetu, binafsi naanza kuona kusajili wengine ni anasa, na matumizi mabaya ya rasilimali watu
Msidanganyike na hivyo vitimu , EPL kuna timu ngumu sana (wolves, Westham, Leicester, Everton not even to mention Big Six)

Personally Brewster ile mechi ya jana hajaniimpress kabisa, walioniimpress ni Larouci, Clyne, Ki-jana na Origi. Hao madogo wanahitaji gradual integration (kuingizwa taratibu kwenye majukumu na sio kuwa tegemea) na hivyo matokeo kutoka kwao sio karibuni, lakini by December tayari uelekeo wa ligi huwa umeshajulikana. Ligi ya 2019-2020 ni ngumu cha hatari zaidi ni kwamba 2020-2021 itakuwa tough kuliko maana Chelsea wataspend kiasi kikubwa sana na huwa hawabanii pesa wakati wa kusajili
 
IMG_5887.JPG
 
Siku zote nilikuwa nawatafuta wanaotazama mpira LiveScore kumbe ndiyo wewe?

Kama humjui Origi basi kawaulize Barcelona na Spurs.

Origi > Odoi + Loftus-Cheek + Giroud
uyo Origi ana pafom mechi moja moja ndo unamfananisha na machine kama Giroud au Cheek?? Acha masikhara mkuu.. kumpa Origi mkataba ni worst desicion..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom