Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

I agree 100% Iwapo tu Keita na Chamberlain watakuwa kwenye ubora wao.
Mkuu Keita ni kama anapoteza muda tu apo Liver, sidhan kama usajil wake uyo Klopp alihusika, naona kama hauna future yeyote apo Liverpool ..
 
Kuingia top four kwa Chelsea kutategemea na ubovu wa aseno, manure na spurs pekee vinginevyo hao wakiwa imara Chelsea hata nafasi ya 6 hawezi kaa
Sisi Chelsea HAKUNA NA SIKUMBUKI ni msimu upi tulipewa nafasi ya kuingia top four. Lakini kila msimu unapoisha huwa tunaona kinachotokea. Arsenal au Spurs au Manure wawe vizuri au vibaya sisi top four sio target yetu. Ndo maana kila msimu tunabeba kombe! Wewe endelea kuota..
 
Man u anarudi top 4
Liver na city atakuwepo pia.
Chelsea atakuwa europa ligi
Arsenal pia. Tottenham atabeba hiyo nafasi ya mwisho ya 4.
 
Naona mumejaa wapiga Ramli
Na hata wale wapiga Ramli wa Liverpool walioanza kututabiria Ubingwa 2017, 2018, 2019 bado hawajaja.

Natumai soon watakuja na kusema Liverpool EPL ni yetu! Huku wakitarajia Lovren, Lallana na Hendo watupe EPL.
 
It makes no difference to sign a player today or next week/weeks or next month...What matters is just signing..reading some posts here its like the window is already closed...I wait untill the last day to assess our new squad...for now,chilling is my option
upo sahihi kwa vile dirisha bado lipo wazi...any new player will do better akipata pre season kwa muda wa kutosha ili aedane na mfumo anaotaka kutumia Klopp new season...

kingine pia kuchelewa kununua kunapadishag bei wachezaji maana inakua kama panic buy...

the earlier the better.
 
IMG_0059.JPG


Tayari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom