OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Nadhani umenielewa sasa. Origi anafaa kucheza Arsenal uko, kumpa mkataba ni kosa kubwa sana..Tumempa Mkataba Origi lakini naomba tuwe wastahamilivu kwani kwani alichokifanya CL siokwamba lazima akifanye tena.