Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_5880.JPG
 
Ninamuona hapo Brewster, Den Berg na Wilson

Ni future generation Nzuri tu but we need two things at the sametime! 'Future and present' Den Berg, Ki-Jana, Brewster na Wilson hawa ni Future, but present time we need watu wa kazi age 20+ wa kuwatumia kupambana kwa ajili ya EPL.
Nadhani plan iliyopo ni kuwatumia kwenye kombe la EFL ili wapate changamoto za wachezaji wakubwa
 
Nadhani plan iliyopo ni kuwatumia kwenye kombe la EFL ili wapate changamoto za wachezaji wakubwa

Hata wakishapata hizo changamoto kutoka kwa Wakubwa Man City tayari ameshabeba Kombe.

Nadhani umeshaona alivyokiboresha kikosi chake Msimu huu kwa ajili ya kupambana Msimu huuhuu! Wakati sisi tunaboresha watoto kwa ajili ya Misimu Mitatu ijayo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom