Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Chelsea ipi hiyo unayoizungumzia mkuu?
Wako vizuri, kubaki top four kunataka isiwe unapoteza hovyo mechi sasa Chelsea beki pale ipo
Forward wapo wazuri ila sio sana ambao kwa maoni yangu wanatosha sana kwenye kutafuta top four, combination ya Odoi, Pulisic na Giroud pale mbele inatosha sana kuwapa top four
