aisee hua namuangalia sana huyu ndogo japo waingereza kwa hype ndio wenyewe kwa £60m is good business...
kwetu ni ngumu kuja sioni Klopp akitoa hio pesa kununua beki ghali dirisha hili..
upo uwezekano akapandisha academy players baada ya kuridhishwa na maedeleo ya TAA...
Klopp hua ni msiri sana anapofika kwenye suala la usajili.Any strong rumour?
Klopp ampe chance Harry Wilson


Dah! Mkuu sio siri ukiwa humu unakuwa mstaarabu na mwenye posts zenye Akili Lakini ukiwa kwenye Nyuzi za majirani unapost Pumba kinoma.![]()
![]()
Hahahahahahahahah mkuu kule huna naenda kuwa vuruga makusudi hahahahahahahahahDah! Mkuu sio siri ukiwa humu unakuwa mstaarabu na mwenye posts zenye Akili Lakini ukiwa kwenye Nyuzi za majirani unapost Pumba kinoma.![]()
![]()