Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hizi tetesi nyengine kuhusishwa nazo ni nuksi tupu! Yani tunahusushwa na Marega???
Dah, mkuu una gudu, hahahhahah [emoji3]Dah! Mkuu sio siri ukiwa humu unakuwa mstaarabu na mwenye posts zenye Akili Lakini ukiwa kwenye Nyuzi za majirani unapost Pumba kinoma. [emoji23] [emoji23][emoji23]
haha sawa ndugu, pazuri Klopp wont buy another defender for £80m this soon...Maguire hauzwi kwa £60m
Ingelikuwa anapatikana kwa bei hiyo Manure wangelikwisha mchukuwa since last season.
Bei wanayotaka Lesta ni kati ya £80m to £90m with crazy bonuses.
Sipendelei kuona tetesi yoyote kutoka Liverpool ikimuhisisha huyu jamaa.
Brewster would be like a new signing kaka...our future 9, there is a reason he is rated highly at Anfield...The raise of Origi & Brewster, the fall of signing of Werner, Pepe and any New Centre forward...
hahaha relax King Ngwaba t gossip tym nothing more...Hizi rumours za Bruno Fernandez and Nicolas Pepe zinanipa Headache kuzisikia... Can someone stop posting this shit please?
Donny van de Beek - The Ajax midfielder would reportedly cost the Reds £49m..
will Fekir cost more than this Beek??